Mtaji wa biashara ya M-Pesa na biashara mwenza

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau naomba Ushauri wenu.Baada ya kumaliza Chuo na kukosa Ajira nimeamua kujiajiri kama Wenye Nchi wanavyoshauri.
Nataka KUFUNGUA biashara ya MPESA.

Ninachokiomba kwenu ni kujua MTAJI sahihi kwenye Mitandao yaani MPESA,TIGO PESA na AIRTEL MONEY

Pia Naomba kujua ni BIASHARA gani naweza KUICHANGANYA na hiyo MPESA

SHUKURANI kwenu Nasubiri Ushauri wenu.
 
Mkuu tafuta Uzi mmoja humu unazungumzia hiyo biashara ya M PESA, humo watu wamemwaga madini mengi...
 
Back
Top Bottom