Ipi inalipa kati ya Reustarant na M Pesa?

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
203
Wadau,

Naomba kwa wale wenye uzoefu wanipe uzoefu wao nina millioni nane nataka kuanzisha kimoja wapo ya vitu vitatu Restaurant, M Pesa. Na duka la rejareja, ikiwezekana viduka vya rejareja viwili kila kiduka kichukue milioni nne.

Ushauri wenu tafadhali
 
Mkuu faida katika hizo biashara zitatofautiana kutokana na mazingira,biashara zote zinalipa ila location tuu ndo ya kuzingatia,but tukizichambua interms of risk m pesa inaongoza kwa risk but vinginevyo eneo ulilopo ndo litadertamine ufungue biashara gsni kati ya hizo.
 
risk za m.pesa hebu fafanua..ni zipi izo
 
Nikusaidia kidogo, risk za M-PESA ni kwamba
1. Wahudumu wa M-PESA toka Vodacom wengi wao ni wezi, hivyo wakati wa kutoa commissiob mwisho wa mwezi huwa wanakuibia sana...hata uwe makini vipi wao wanaweza wakaweka ukaiona SMS alafu wanaitoa hiyo commission bila kuleta SMS na huwezi gundua.

2. Biashara hii inawindwa sana na majambazi, fuatilia matukio yake....unaweza kuuawa kwa shilingi laki 2 mbili. Wanakuja kukuvamia....jilinde kiusalama

3. Mtoa huduma utakayempatia laini akusaidie anaweza kukuibia au akatokomea na pesa zako kusiko julikana

4. Hii biashara inabidi umuelimishe mkeo sana kuhusu biashara hiyo...maana utakuta mwenzio anaona una pesa nyingi hivyo kuamua kufanya matumizi yasiyo yalazima hatimae mtaji ukaisha

5. Nasisitiza tena wizi wa pesa mtandaoni unafanywa na wahudumu wa M-PESA/Tigo pesa etc...hapa ndio panawavunja sana moyo agent wengi....yaani unaweza ukafanya miamala mingi sana kwa mwezi lakini ikija kwenye malipo ya commission utashangaa...uwe muelewa sana wa biashara hii ya pesa nakusihi sana!
 
Kaka umenena, asante sana
 
Funguaa duka la reja rejaa na hapoo hapoo dukani unawekaa linee zakoo unapigaa kazii .cha muhimu n kuwekaa mabango yanayoonyeshaa kunaa m pesa na tigo pesaa ...mungu akuongozee ktk hili...
Asante,nashukuru sanaaaaaa
 
Wadau,

Naomba kwa wale wenye uzoefu wanipe uzoefu wao nina millioni nane nataka kuanzisha kimoja wapo ya vitu vitatu Restaurant, M Pesa. Na duka la rejareja, ikiwezekana viduka vya rejareja viwili kila kiduka kichukue milioni nne.

Ushauri wenu tafadhali

Kwa haya maswali na kuuliza ushauri online kwa namna hii ukitegemea utakusaidia, ninakushauri ufanye utafiti mwenyewe wa uhakika, usikurupuke
 
Fungua mgahawa lakini uhakikishe vigezo na masharti vinazingatiwa. Pia ukumbuke usafi, bei ambayo wenyeji wa eneo hilo wata afford, vyakula vyenye ladha, nakushauri uweke vyakula vya mchemsho usiweke mafuta maana wateja wengi siku hizi hawahusudu kula mafuta mengi, ukarimu, unadhifu wa wahudumu, eneo la jikoni liwe safi muda wote. Mwisho jitahidi uwe wa kwanza kufungua biashara yako asubuhi sana na uwe wa mwisho kufunga usiku
Ukumbuke na mambo ya faragha (siri) za wateja wako, sio mtu kapita hapo na mke au mume wa mtu kamnunulia ki juice halafu mnamtangaza!!!
 
Da,nashukuru na nimebiwa sana kuhusu hilii.
Napenda nianzishe kitu ambacho hata mtu akiiba leo mtaji upo.

Lakini M pesa inaonekana mtu anaweza akaiba pesa yote ya mtaji.Na suala hili nilishawahi kumbiwa.
Yaan mtu nawezaje kumpa milioni mbili aende nazo kufanya biashara wakati huo najua presha itapanda na kushuka ingekuwa nakwenda mwenyewe sawa lakini mimi ni mfanyakazi so lazima niajiri mtu
 
Back
Top Bottom