Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
Ni sheeda aise
picha za zamani ni za zamani tu hizo sasa hivi siziangalii nipo na James bond na kama hizo eti mtu mmoja anaua watu mia
shenzz kabisa eti ndio komando kipensi nachukia nilikuwa nadanganywa
Hizo za kihindi nitazipataje mkuu........hasa hiyo disco dancer..........
Bila shaka mlikuwa nacho kidubwasha cha kuriwaindia mikanda ili msiichoshe deki. Tena mnapewa na amri na wazazi kama wanaondoka na kuwaacheni peke enu mnasisitizwa kanda zenu mkiriwaindi tumieni kidubwasha hicho. Maisha hayaushawahi kukutana na changamoto za deki chafu, au kuna kipande mkanda hauonyeshi...
Baby's Day Out...
![]()
hii movie hainichoshagi
Baby's Day Out...
![]()