Ipi ilikuvutia enzi hizo?

Ipi ilikuvutia enzi hizo?

Dah!halafu kipindi hicho VHS movie za kutisha sio mchezo kitu cha mazombie.
 
Hapna chezea Amita bhachan Andhakanun
 
images.jpg ManhattanChasecov.jpg images (2).jpg
 
Rambo III hii movie naipenda sana na ndio fav movie ya baba yetu
 
Commando joni, commando kachupi, first blood, delta force, hatya, preditor, enter ze dragon zote hizi nilikuwa nimezikariri mbaya. Nikikusimulia enzi hizo utapenda, nukta hadi nukta. Pia madogo wa zamani tulikuwa tuna kipaji cha kusimulia, ilikuwa inatujenga. Yaani nilikuwa kommando joni nasimulia mpaka mziki au ule mdundo wa hatari unavyokuwa. Arusha hiyo, kijenge, weekend. Lazima muwe mmeoga kwanza ndo mnawekewa kwa jirani! Dah!
 
Mimi nawakumbuka Billy Blanks, Jeff Wincot, Mathias Huess, Jalal Merhi, Michael Dudichof, Cynthia Rothrock dah list ndefu. Hao wataalam wa movies za martial arts za miaka ya 90 walikuwa wananikosha sana.

Hawa jamaa walikuwa wanatisha. Mathias hues bonge la jambazi alikuwaga.
 
nakumbuka picha za mwanzo kuziangalia ni DRACULA na CYBORG ilikuwa ni miaka ya 87 =88
 
Kulikuwa na ile ya Tarzan katika picha za kihindi. Kuna mama mmoja aliwahi kuuliza wale wanaoonyesha video kijijini "mbona siku hizi hamumletiTarzan, ama ameshkufa?"
 
Commando joni, commando kachupi, first blood, delta force, hatya, preditor, enter ze dragon zote hizi nilikuwa nimezikariri mbaya. Nikikusimulia enzi hizo utapenda, nukta hadi nukta. Pia madogo wa zamani tulikuwa tuna kipaji cha kusimulia, ilikuwa inatujenga. Yaani nilikuwa kommando joni nasimulia mpaka mziki au ule mdundo wa hatari unavyokuwa. Arusha hiyo, kijenge, weekend. Lazima muwe mmeoga kwanza ndo mnawekewa kwa jirani! Dah!

ni kweli mkuu...zamani mambo ya kukariri na kusimuliana movie ilikuwa ni jambo la kawaida
 
Kulikuwa na ile ya Tarzan katika picha za kihindi. Kuna mama mmoja aliwahi kuuliza wale wanaoonyesha video kijijini "mbona siku hizi hamumletiTarzan, ama ameshkufa?"

duuh...mkuu chukua like. Tarzan kitambo sana
 
Back
Top Bottom