Utaniambia nn mbele ya hzo apo ww utakuta wk end ndo mnaruhusuwa kuangalia Tv bac mnajikusanya watt karib mtaa mzima ikiisha hii mnaweka hii hahahha
Mimi nawakumbuka Billy Blanks, Jeff Wincot, Mathias Huess, Jalal Merhi, Michael Dudichof, Cynthia Rothrock dah list ndefu. Hao wataalam wa movies za martial arts za miaka ya 90 walikuwa wananikosha sana.
picha za zamani ni za zamani tu hizo sasa hivi siziangalii nipo na James bond na kama hizo eti mtu mmoja anaua watu mia
shenzz kabisa eti ndio komando kipensi nachukia nilikuwa nadanganywa
kipindi hiko tv mtaani zinahesabika
Hizo za kihindi nitazipataje mkuu........hasa hiyo disco dancer..........