Ipi ilikuvutia enzi hizo?

Ipi ilikuvutia enzi hizo?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,449
Reaction score
9,739
daaah zamani hizo kabla ya digitali ilikua raha sana.
 
Utaniambia nn mbele ya hzo apo ww utakuta wk end ndo mnaruhusuwa kuangalia Tv bac mnajikusanya watt karib mtaa mzima ikiisha hii mnaweka hii hahahha
 

Attachments

  • 1414914236865.jpg
    1414914236865.jpg
    26.5 KB · Views: 566
  • 1414914251720.jpg
    1414914251720.jpg
    61 KB · Views: 560
  • 1414914275878.jpg
    1414914275878.jpg
    101.7 KB · Views: 476
  • 1414914299464.jpg
    1414914299464.jpg
    12.9 KB · Views: 495
Mimi nilikuwa najua jina la staa wa filamu na sura yake basi,sababu kuiona picha yenyewe ilikuwa mpaka kwa jirani na siku hiyo awe amefurahi!!!!!
 
Hizo za kihindi nitazipataje mkuu........hasa hiyo disco dancer..........
 
Dah. .ma cd yana scratch digtal majanga bora vhs, nazkubl sana,black shep,mohra,koyla,amercan ninja,mafia ninja,ninja worrz, dah zpo nyng tajaza uzi bulee
 
Mimi nawakumbuka Billy Blanks, Jeff Wincot, Mathias Huess, Jalal Merhi, Michael Dudichof, Cynthia Rothrock dah list ndefu. Hao wataalam wa movies za martial arts za miaka ya 90 walikuwa wananikosha sana.
 
Enzi hiyo picha kama war bas niliiyonaga kwenye mabanda ya video ukitoa shilling 30 unaangalia picha kama tatu.
 
Zote zilikuwa nzuri sana kwangu wakati huo
 
picha za zamani ni za zamani tu hizo sasa hivi siziangalii nipo na James bond na kama hizo eti mtu mmoja anaua watu mia
shenzz kabisa eti ndio komando kipensi nachukia nilikuwa nadanganywa
 
Mimi nawakumbuka Billy Blanks, Jeff Wincot, Mathias Huess, Jalal Merhi, Michael Dudichof, Cynthia Rothrock dah list ndefu. Hao wataalam wa movies za martial arts za miaka ya 90 walikuwa wananikosha sana.

Mkuu umenikumbusha mbali sana!Cynthia Rothrock sijui yuko huyu mama? Alitamva sana enzi zake
 
Back
Top Bottom