Ipi ilani bora Kati ya CCM na UKAWA

Ipi ilani bora Kati ya CCM na UKAWA

Ishu siyo ubora wa ilani ishu ni posibility ya kutekelezeka kwa ilani' ccm 50yrs hakuna ilan yyte iliyotekelezeka effectively! Tukianza na ya mwinyi, mkapa na jakaya! Lets stop fear to the unknown tuipe ukawa nchi na tutarajie ukomboz
 
Wadau tunapoenda kwenye uchaguzi hebu tukubaliane kwa pamoja tuweke ushabiki pembeni kwa maslahi ya taifa letu. Ni ILANI IPI YENYE UBORA? Kati ya hizi mbili zipitie kisha toa jibu lako

Ilani zenyewe unazo? Au unalinganisha machache yaliyosemwa na wagombea?
 
shida sio ilani,shida ni nia,uwezekano na uhakika wa utekelezaji wa mailani hayo,ccm wamekuwa na mailani ya kuvutia na kulaghai watu toka 1985,lakini hakuna mabadiliko!! usivutiwe na ilani,hata mabinti wengi wamemimbwa na kutelekezwa kwa sbb walivutiwa na sera na ilani za washkaji!!
 
Back
Top Bottom