Wadau tunapoenda kwenye uchaguzi hebu tukubaliane kwa pamoja tuweke ushabiki pembeni kwa maslahi ya taifa letu. Ni ILANI IPI YENYE UBORA? Kati ya hizi mbili zipitie kisha toa jibu lako
Una umri gani?
Wadau tunapoenda kwenye uchaguzi hebu tukubaliane kwa pamoja tuweke ushabiki pembeni kwa maslahi ya taifa letu. Ni ILANI IPI YENYE UBORA? Kati ya hizi mbili zipitie kisha toa jibu lako
Ngoja waje wakuambie
UKAWA siyo chama hi yo hawana Ilani! CDM haijaandaa ilani hivyo huwezi linganisha vitu ambavyo havipo. Subiri water ilani Yao.
Ilani ya ukawa ni bora zaidi kwani imetambua na kuweka misingi ya haki na utu wa mwanadamu kuheshimiwa. mfano pensheni kwa wazee ambao kimsingi walivuja sana jasho katika ujenzi wa taifa lao tena katika mazingira magumu mno.....
Hivi bado tu kuna watu mnagmea jambo jema kutoka CCM???? Hawa CCM hawana jipya! Ni udanganyifu uleule miaka nenda rudi!
Ilani bora ni ile inayozungumzia maadili ya ukongozi kukomesha rushwa na ufisadi
Ukawa kazi yao ni kutekeleza sera zote zote nzuri hata kama zimetoka ccm ilani yao ni kuleta mabadiliko ya kiuchumi kwa ujumla na kuleta maendeleo kwa kasi ya ajabu sanjari na kuweka mfumo bora wa kuzuia ufisadi na ufujaji wa pesa za umma, kurejesha viwanda na kufufua viwanda na kujenga viwanda vipya vingi, kupanua soko la Ajila kwa nguvu zote, kufuta misamaha ya kodi isiyo na Tija kwa kwa kifupi Ukawa wanakuja kamaliza kero nyingi sugu.
hata hivyo vijana wa kukokopy na kupaste sahv wameshazidiwa hoja, sahivi nasikia Lumumba kuna fukuta kuhusu suala la tshirt so dizain kama wamezila vile
Naona zote zimezungumzia rusha hebu fafanua kidogo ni ILANI IPI YENYE sera nzuri kwa Jambo hili la rushwa