Ipi dini ya kweli hapa?

Ipi dini ya kweli hapa?

Dini ya ukweli ni UPENDO ulionyooka.

Upendo haubagui, hauchagui, auhukumu, auhesabu mabaya, haujigambi wala kujikweza. Upendo huvumilia, huchukuliana, haugawanyi, hautoi!

Ukiwa na upendo hautamwibia, hautazini naye, hautomdanganya, hautomnyanyasa, hautomwua, hautotamani mali zake, hautopigana naye. Binadamu mwenzio.

Kama ipo iliyo kinyume na upendo, kwanini uhangaike????

Eeeh, nakubaliana na wewe isipokuwa hapo pekundu.
 
Dini ya ukweli ni UPENDO ulionyooka.

Upendo haubagui, hauchagui, auhukumu, auhesabu mabaya, haujigambi wala kujikweza. Upendo huvumilia, huchukuliana, haugawanyi, hautoi!

Ukiwa na upendo hautamwibia, hautazini naye, hautomdanganya, hautomnyanyasa, hautomwua, hautotamani mali zake, hautopigana naye. Binadamu mwenzio.

Kama ipo iliyo kinyume na upendo, kwanini uhangaike????

Huo ndo ukweli hata wakipinga
 
Sasa ya kweli ni ipi mkuu?

Hakuna ya kweli. Zote zmetengenezwa kwaajili ya binadamu mmoja kumexploit binadamu mwengine. just live your life and know your limits and others' help the disable ones and wait for your day to come !
 
Hakuna ya kweli. Zote zmetengenezwa kwaajili ya binadamu mmoja kumexploit binadamu mwengine. just live your life and know your limits and others' help the disable ones and wait for your day to come !

Right on brother.

I wish we all went by the all time creed:

"DO ONTO OTHERS WHAT YOU WOULD LIKE THEM TO DO ONTO YOU"
 
Kuna dini ya biashara ambayo matangazo ni muhimu sana ktk ustawi wake na haijali wateja wake ni wepi, cha muhimu ni pesa tuu
 
Najuta kuweka hiyo picha
Hadi unamtukania mtu mamayake

Niladhani mgewapongeza hao walioweka hilo bango
mkuu usijute ni ya kawaida na hiyo ndo elimu yetu ya kibongo na bila tusi huwa hainogi
 
Hapana nafikiri utakuwa ule mstari unaoelezea namna Yule jamma aliyepata kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali na kumuwamba msalabani na kumvisha pampasi.

Lakini mbona huyo aliyeshushiwa aya siku ya mwisho kabla ya kufa alisema roho yake anaikabidhi kwa masihi ina maama alikuwa hana hakika akifa at aenda wapi? Mshaachwa kwenye mataa kasome kitabu cha hadith za Mtume utaikuta hiyo aya.
 
yaani imenisisimua sana sote tu waja wa mola
 
Una uhakika na huo mstari?si ndio huo ambao muhamad alikua kalewa akaota?

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الَّذِينَ اتَّخَذُوا دِينَكُمْ هُزُوًا وَلَعِبًا مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ مِنْ قَبْلِكُمْ وَالْكُفَّارَ أَوْلِيَاءَ ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ إِنْ كُنْتُمْ مُؤْمِنِينَ

Enyi mlio amini! Msiwafanye marafiki wale walio ifanyia kejeli na mchezo Dini yenu miongoni mwa walio pewa Kitabu kabla yenu, na makafiri wengine. Na mcheni Mwenyezi Mungu kama nyinyi ni wenye kuamini.

QURAAN 5:57

WEWE Ni mmoja wa Makafiri. Adhabu ya Mungu inakungoja. Endelea na Kashfa.
 
MoDs seriously!!!! Si mtoe huu uchonganish wa kidini??? IMANI ya kweli ni kile unachoamini mwenyewe na mungu ni mmoja ata mpagan ana imani yake..toeni huu upuuzi.
 
Why always islamic prayers do discriminate other people? Is it for Muslims alone? Does Islam not meant for all people ..like how Christians prays for the whole world? All siners etc?... Huwaga ninaona siku za Eid waislam wanapoenda kutoa zawadi mahospitalini huwaga wanatoa kwa Wagonjwa Waislam tu why? Dini ndo inaelekeza hivo?

kama wanafanya ivyo wanakosea,mim ni muislam na huwa nikienda hospitali natoa zawadi na kuongea na wagonjwa bila hata ya kuwauliza majina yao wala dini zao,kwani hatujausiwa kuishi ivyo,tukiwabagua kiasi icho vipi mtaufahamu uislamu?wanaofanya ivyo hakuna walichokipata katika uislamu zaidi ya jina.
 
Hiyo ni jinsi ya upigaji picha tu, ila hapo kuna mabango mawili tofauti.
 
Una uhakika na huo mstari?si ndio huo ambao muhamad alikua kalewa akaota?

Pombe ya Ndizi na zinaa kuigeuza utamaduni matokeo yake nyie wahaya wa kigalatia mnazaliwa bila kumtambua baba. Na kuanza kuropoka ovyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom