Ipi dini ya kweli hapa?

Ipi dini ya kweli hapa?

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Toa maoni yako
 

Attachments

  • 1437772603131.jpg
    1437772603131.jpg
    8.2 KB · Views: 2,145
Why always islamic prayers do discriminate other people? Is it for Muslims alone? Does Islam not meant for all people ..like how Christians prays for the whole world? All siners etc?... Huwaga ninaona siku za Eid waislam wanapoenda kutoa zawadi mahospitalini huwaga wanatoa kwa Wagonjwa Waislam tu why? Dini ndo inaelekeza hivo?
 
Dini ya kweli ile aloridhia mungu tu kwenye kitabu chake nyengine ni uzushi
 
Haya tumeona na ww umeleta Uzi mods mko wapi???plz ondoa hii kitu.
 
Dini ya ukweli ni UPENDO ulionyooka.

Upendo haubagui, hauchagui, auhukumu, auhesabu mabaya, haujigambi wala kujikweza. Upendo huvumilia, huchukuliana, haugawanyi, hautoi!

Ukiwa na upendo hautamwibia, hautazini naye, hautomdanganya, hautomnyanyasa, hautomwua, hautotamani mali zake, hautopigana naye. Binadamu mwenzio.

Kama ipo iliyo kinyume na upendo, kwanini uhangaike????
 
Nenda kasome 3:19 Qur an, hapo ndipo kulipotajwa dini sahihi.
 
Una uhakika na huo mstari?si ndio huo ambao muhamad alikua kalewa akaota?

Hapana nafikiri utakuwa ule mstari unaoelezea namna Yule jamma aliyepata kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali na kumuwamba msalabani na kumvisha pampasi.
 
Dini ya iliyo safi ni hii kuwajali wengine na kuepuka uova/mabaya
 
Why always islamic prayers do discriminate other people? Is it for Muslims alone? Does Islam not meant for all people ..like how Christians prays for the whole world? All siners etc?...

Hebu kajifunze kiinglishi kwanza halafu ndiyo uje hapa kuandika huo utumbo wako.
 
Hebu kajifunze kiinglishi kwanza halafu ndiyo uje hapa kuandika huo utumbo wako.

Nimeandika kizaramo? Jibu hoja. Kawaida mtu asie nahoja huwaga na jazba. I need to know, labda sijui, ukinijibu kwa kejeli na jazba ndo kabisaa ntaona niuzushi tu. Kama hujui nyamaza
 
Ah Ngoshaba usijikweze kujidai kuandika lugha ya watu wala huyawezi. Hicho ulichoandika siyo kizaramo wala kiingereza (lugha) ila umeandika maneno tu ya kiingereza.

Sijakujibu kwa kejeli wala nini lakini ungeandika kwa kiswahili labda ungeweza kufanikiwa kufikisha huo ujumbe wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom