Joseph Kadasula
Member
- Apr 26, 2016
- 21
- 19
bila shaka hakuna mwana jf aliyenunua vitochi smart
Nimeingia website ya tigo naona ina Wi-fi inaweza ikawa nayo pia najaribu kutafuta user manual online, kwangu naona itakuwa mbadala wa routerNimeuliza swali moja: Vina usb tethering hivi vindude?
Yap. Na mbadala wa USB modem pia. Itakuwa dili sanaNimeingia website ya tigo naona ina Wi-fi inaweza ikawa nayo pia najaribu kutafuta user manual online, kwangu naona itakuwa mbadala wa router
Update: za Voda zina USB thetheringNimeingia website ya tigo naona ina Wi-fi inaweza ikawa nayo pia najaribu kutafuta user manual online, kwangu naona itakuwa mbadala wa router
Tujulishane tu wakuuYap. Na mbadala wa USB modem pia. Itakuwa dili sana
Nijulishe mkuu. Nami nikipata taarifa nitakujulisha.
Sasa ishu ni moja tu, tujue kati ya za Voda na tigo zipi ni bora zaidiUpdate: za Voda zina USB thethering
Zote OS ni sawa nadhani tofauti itakuwa ni mtandao tuSasa ishu ni moja tu, tujue kati ya za Voda na tigo zipi ni bora zaidi
Ok sawa nitajipatia ya mtandao mmojawapoZote OS ni sawa nadhani tofauti itakuwa ni mtandao tu
Ndio zina usb tethering sema ni feature mpya imekuja na update ya juzi juzi, kama unanunua na huoni hii feature itabidi u update simu yako.Nimeuliza swali moja: Vina usb tethering hivi vindude?
Ni lazima uiactivate kwenye settings kama android au ukiichomea kwenye PC inakuja kama modem moja kwa moja? According to google inakuja kama modem sasa sijui hizi zilizo bongo imekuwa implemented vipiNdio zina usb tethering sema ni feature mpya imekuja na update ya juzi juzi, kama unanunua na huoni hii feature itabidi u update simu yako.
Nimesoma mahali pia kuwa eti huwezi kupiga video call kwa whatsapp, na pia ku-update status.
Mwenye info zaidi atufahamishe..
ipo kwenye setting kipengelea cha internet sharing, sijajua kama uki enable mara moja inakuwa automatic ama la.Ni lazima uiactivate kwenye settings kama android au ukiichomea kwenye PC inakuja kama modem moja kwa moja? According to google inakuja kama modem sasa sijui hizi zilizo bongo imekuwa implemented vipi
Ila net ya tigo is it reliable!Nimeingia website ya tigo naona ina Wi-fi inaweza ikawa nayo pia najaribu kutafuta user manual online, kwangu naona itakuwa mbadala wa router
Tigo ni chengaaa hahaha yani kuna sehemu huwezi kuzidhania kama zitakuwa na network mbovu ya Tigo.Ila net ya tigo is it reliable!