Ipi bora zaidi kati ya Kitochi 4G Smart ya Tigo au Vodacom

Smart4G ya Tigo haina option ya kum block mtu kule contact na call history, wakat ya Vodacom inayo hiyo option
 
Hii mpya ya tigo nmeipaenda ilivo kamekaa amezing naskia hata chaji kanakaa, muonekano wake utazani Samsung
 
Mimi yakwangu laini ya voda nikiunga bundle nikijihostpot kwenye simu nyingine naweza ku access social media tu siwezi kuingia google wala kudownload document whatsapp ila line 2 nafanya vyote sasa sijajua ni yangu tu au wew yako ipo vipi??
voda ndio wanazingua line zao.
Jaribu kuweka hiyo voda kwenye line 2 uone kama itafanya yote
 
picha please

image-2021-11-29-07:25:19-871.jpg

hiki line zote kinasoma,ila line ya data ni no 1

kina hotspot,na betry yake ni 12 hrs use.

50k nilichukua.
 
Back
Top Bottom