Ipi bora zaidi kati ya Kitochi 4G Smart ya Tigo au Vodacom

Apr 26, 2016
21
19
Wadau habari za majukumu, naomba kuuliza kwa wanaojua au ambao tayari wameshatumia simu hizi zinazopigiwa promo kwa sasa na makampuni ya Vodacom na Tigo maarufu kama Kitochi 4G Smart.

Napenda kujua ipi ni bora zaidi japo naona zinafanana ila tofauti kulingana na maelezo yao na battery capacity ya Vodacom ni 1400mAh na Tigo ni 1900mAh. Kama kuna zingine nijuzeni na ubora wake nataka ninunue. Asanteni.
 
Ndio zina usb tethering sema ni feature mpya imekuja na update ya juzi juzi, kama unanunua na huoni hii feature itabidi u update simu yako.
Ni lazima uiactivate kwenye settings kama android au ukiichomea kwenye PC inakuja kama modem moja kwa moja? According to google inakuja kama modem sasa sijui hizi zilizo bongo imekuwa implemented vipi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom