Sorr ni 16.03
Hii ni latest
Anza kwa ku update app zote
Ikiendelea fanya hard reset
Kwa sasahivi 2023 hii thamani yake sio laki 8 tena, hiko kitu futa kabisa kichwani mwakoIlinunuliwa mwaka 2017… kivip nmepigwa?unajua wakat huo Ilikuwa bei gan!
Endapo njia zote ambazo umepewa humu hazija leta matokeo chanya. Basi njia pekee ya kupunguza hilo tatizo ni hizi. Nathibitisha zimenisaidia pia wakati nikiwa na hilo tatizo.Wandugu habar…/natumia iphone8 shida nayopata ni Mwamba nikiwasha data huwa unapata sana joto….tatzo inaweza kuwa nini wajuzi wa mambo… naomba msaada went
Kwa sasahivi 2023 hii thamani yake sio laki 8 tena, hiko kitu futa kabisa kichwani mwako
Endapo njia zote ambazo umepewa humu hazija leta matokeo chanya. Basi njia pekee ya kupunguza hilo tatizo ni hizi. Nathibitisha zimenisaidia pia wakati nikiwa na hilo tatizo.
1. Tumia Low Power Mode.
2. Turn off background refresh.
3. Hakikisha baada ya kumaliza kutumia app yeyote unaitoa kabisa. Usiiache ibaki background. (Hili ndiyo sababu kubwa ya Tatizo lako)
4. Pia, ingia kwenye setting, battery Health then angalia app gani inatimia charge sana. Kama matumizi yake ni Unnecessary basi unaweza punguza au kuifuta kabisa.
Kwa sasa simu yeyote chini ya Iphone 11 suala la kupata joto baada ya matumizi ya muda mrefu especially over streaming ni suala la kawaida.
Shukuran ndugu...nitalifanyia kaziEndapo njia zote ambazo umepewa humu hazija leta matokeo chanya. Basi njia pekee ya kupunguza hilo tatizo ni hizi. Nathibitisha zimenisaidia pia wakati nikiwa na hilo tatizo.