OTIS
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,252
- 839
Tangu Iphone zianze kutengenezwa kumekuwa na toleo la line moja tu hadi mwaka 2018 walipotoa Iphone XS yenye dual sim.
Mtaani kumekuwa na watu wengi wasijua hili na mara nyingi wanasema simu hizo ni fake jambo ambalo sio kweli hata kidogo.
Dhana hii inaweza kuwa inachangiwa sana na wengi wa watu kutumia Iphone za matoleo ya zamani sana kama Iphone 6 hadi X na wengine kuzoea kununua simu kutokea Ulaya au Marekani ambako Iphone za line 2 hazipatikani.
Iphone zenye line mbili zinapatikana kwenye masoko matatu tu duniani nayo ni China, HongKong na Macau.
Kwa taarifa zaidi pitia hii support page ya Apple inayozungumzia matumizi ya line mbili kwenye simu ya IPhone
support.apple.com
Naambatanisha na picha kuonesha Iphone 12 Pro max yenye dual sim zinazofanya kazi hapa TZ
Karibuni

Using Dual SIM with two nano-SIM cards - Apple Support
In China mainland, Hong Kong, and Macao, certain iPhone models feature Dual SIM with two nano-SIM cards. This gives you two phone numbers to make and receive calls and text messages.