iPhone SE toleo la 3 inategemewa itatoka mwaka 2022 mwanzoni

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,338
28b9b910d342d5e217cb1283f5b29143(1).png
iPhone SE toleo la 3 inategemewa itatoka mwaka 2022 mwanzoni na itakuwa na chip mpya ya iPhone.

Apple imeamua kuchukua hatua ya kusitisha design ya iPhone mimi na kuweka focus katika iPhone SE mpya ambayo itakuwa na chip ya A15 Bionic (chip inayotumika katika iPhone 13).

Apple inalenga soko la chini kwa kutoa iPhone SE ambayo ni toleo la bei nafuu lakini inakuwa na Chip kubwa (best chip kwenye market), Kioo cha kawaida (itakuwa LCD) ; itakuwa na uwezo wa 5G.

iPhone SE ya 2022 itakuwa maalum kutoa soko la iPhone XR na iPhone 11. Itakuwa na design ya iPhone za zamani na Touch ID katika Home Button.

Inategemewa itakuwa na gharama chini ya laki 9.

Je, Apple itafanikiwa kulenga soko la simu za bei ya chini?
 
Mtu ambaye hajawahi kutumia iPhone hawezi kujua aseme nini. Anachojua yeye ni kuwa iPhone ni bei kubwa. Hakuna kitu kingine anajua.

Sumsung, Google, LG, Oppo, Huawei, hTC, na zingine nyingi ni tofauti ya majina na brand tu lakini a simple fact ni kuwa zooote ni ANDROID.

Appe software ni habari nyingine ambayo asiyejua ndio anaweza kusema bei kubwa. Bei kubwa kulinganisha na nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom