Ansah Miles
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 392
- 177
Aggrey kariakoo icloud zinanyofolewa deile
Wakuu iphone 6 plus yangu imepotea katika mazingira ya kutatanisha
Rangi ya Gold na ina crack kwenye screen
Ni ngumu kuitumia sababu ina password kabla hujaingia
Kwa vyovyote itakua imejilock kwa icloud
So please kama kuna mtu atakutana na iphone 6 plus inacrack nyingi kwenye kioo inauzwa na ina icloud lock naomba anisaidie kunijuza hata kwa pm....... Tafadhali
Zawadi nono itatolewa

habari wakuu,natumia iphone 4 shida moja kubwa betri haikai na chaja pia hupata moto sana,kama kuna mtu anajua uvumbuzi wa hili tatizo naomba anijuze!
Mkuu pole kwanza, kosa wanalofanya watumia wa iPhone pindi wanaponunua ni kuweka passcode, hii inafanya kuwa ngumu kuitrack simu yako pindi unaibiwa, mfano mi iPhone yangu sijaweka passcode yoyote na bado ipo secured kwa sababu bado iCloud inafanya kazi kama kawaida, pindi ikiibiwa bado mwizi wangu ataendelea kuitumia kama kaiwada na nina chance kubwa ya kumshika nayo mkononi
Mmh mmh is it? Mimi nimelink iPhone,iMac & iPad. Hata ikiwashwa hukooo mbali let say mwanza na mm niko Dar. Naweza track kujua iko wapi hata activities za hii simu vs imac & ipad. Nadhani sijakuelewa vzr
mmmhh mm nnayo 6+ hpa iko na I cloud
Iphone 4 unlocked.... 180k... Used...
Usipate tabu kuhangaika na locked iphones... Njoo upate iphone unlocked
Tangazo kuuubwa sim yenyewe ya 2010.
Zenye IOS 6 kushika chini zilishatoswa na Apple nadhani ni kuanzia iphone kushuka chini hizo zimepigwa kibuti, ila iphone 4s kwend juu hizo jamaa bado wapo nazo na ndio maana juzi imetoa ios 9.1 nawatu wana uodatesHiyo i cloud lock inatoka tena kabisa, iphone zote zinazotumia ios 6 kushuka chini zina uwezokano wa kufunguliwa icloud kwa kutumia IMEI namba tuwasiliane 0714648822
Zenye IOS 6 kushika chini zilishatoswa na Apple nadhani ni kuanzia iphone kushuka chini hizo zimepigwa kibuti, ila iphone 4s kwend juu hizo jamaa bado wapo nazo na ndio maana juzi imetoa ios 9.1 nawatu wan uodates
Naweza unlock iphone 5 ya ktk UK kwa bei gani hapa tz na wapi??