B I N A M U JF-Expert Member Apr 7, 2015 1,495 2,393 Sep 29, 2021 #1,221 Hapana ila 6s inapanda muuni kashalost said: wakuuu nlikuwa nauliza iphone six plain inaweza kusapot ios 13 na ni kwa namna gn lbda eti Click to expand...
Hapana ila 6s inapanda muuni kashalost said: wakuuu nlikuwa nauliza iphone six plain inaweza kusapot ios 13 na ni kwa namna gn lbda eti Click to expand...
muuni kashalost Member Aug 27, 2021 35 50 Sep 29, 2021 #1,222 Binamuyako said: Hapana ila 6s inapanda Click to expand... kwahyo hakuna namna yoyote ile ya kuifany ikasapot
Binamuyako said: Hapana ila 6s inapanda Click to expand... kwahyo hakuna namna yoyote ile ya kuifany ikasapot
mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 30,723 37,328 Sep 29, 2021 #1,223 muuni kashalost said: kwahyo hakuna namna yoyote ile ya kuifany ikasapot Click to expand... labda u jailbrick.kitu ambacho ni kama kutumia nyororo kama kamba ya nguo. unachosha akili tu yako na simu tu,nunua 6s au 7 plain haziitishi siku hizi.
muuni kashalost said: kwahyo hakuna namna yoyote ile ya kuifany ikasapot Click to expand... labda u jailbrick.kitu ambacho ni kama kutumia nyororo kama kamba ya nguo. unachosha akili tu yako na simu tu,nunua 6s au 7 plain haziitishi siku hizi.
MWEMBEKIUNO JF-Expert Member Sep 6, 2016 1,878 2,474 Sep 29, 2021 #1,224 muuni kashalost said: kwahyo hakuna namna yoyote ile ya kuifany ikasapot Click to expand... Ios 13 ni kubwa..processor ya iPhone 6 ni ndogo haiwez kuendesha hiyo ios
muuni kashalost said: kwahyo hakuna namna yoyote ile ya kuifany ikasapot Click to expand... Ios 13 ni kubwa..processor ya iPhone 6 ni ndogo haiwez kuendesha hiyo ios
Shadow7 JF-Expert Member Sep 28, 2020 13,797 20,209 Oct 1, 2021 #1,225 Kanungila Karim said: Mzee, ya kwangu inaandika NO SERVICE yaani ukiweka laini inakuandikia hivyo. Ni Iphone s6 Click to expand... Yangu ilitengemaa
Kanungila Karim said: Mzee, ya kwangu inaandika NO SERVICE yaani ukiweka laini inakuandikia hivyo. Ni Iphone s6 Click to expand... Yangu ilitengemaa
A Allydasmartboy001 JF-Expert Member Jul 14, 2018 599 206 Oct 1, 2021 #1,226 Iphone zote zipo kwa anayehitaji anaweza nicheck kwa whatsapp 0713696164 na used zipo pia
DAVID PALMER JF-Expert Member Jan 19, 2020 285 1,448 Oct 1, 2021 #1,228 Kila nikijaribu kuingia hapo id suggestions inaniletea ujumbe huo
DAVID PALMER JF-Expert Member Jan 19, 2020 285 1,448 Oct 1, 2021 #1,229 Wakuu kila nikiingia hapo ID SUGGESTION INANILETEA UJUMBE HUU
Smartkahn JF-Expert Member Jun 22, 2020 293 565 Oct 1, 2021 #1,230 DAVID PALMER said: Kila nikijaribu kuingia hapo id suggestions inaniletea ujumbe huo Click to expand... Restart arafu ujaribu tena, hakikisha una-bundle lakutosha.
DAVID PALMER said: Kila nikijaribu kuingia hapo id suggestions inaniletea ujumbe huo Click to expand... Restart arafu ujaribu tena, hakikisha una-bundle lakutosha.