Hakuna anaetoa I cloud lock zaid ya Apple wenyewe au mwenye Simu aliyelock. Jambo hili lisipoteze muda kujadiliwa!Kumekuwa na post nyingi kuhusiana na iphone, uzi huu ni maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za apple. Tupia maswali ama maujanja kuhusu @ios na mambo mengine.
HADI MUDA HUU HUTUJAPATA UFUMBUZI WA HAKIKA WA KUTOA I CLOUD EPUKA MATAPELI, wataalamu karibuni.
Hizi Iphone siku hizi zina kero kibao nadhani mchina ametawala
sasa una siki 2 na unaanza kujidai.Tatizo wengi wananunua refurbished iphone za wachina, lkn ukinunua mpya iphone haitakusumbua maishaa!!
Mimi nimekaza moyo, imenitoka kama 1.4m kuagiza i4n 7+ mpya toka US, nina siku 2 nayo
Wakuu natumia i4n 6s+ lakini itune store mara zote inaniambia βcannot connect to ituneβ mwenye kujua hili nitashukuru kwa msaada.
Nina iphone 6 plus ina shida kwamba ikikaribia kuisha chaji inazima nanikiweka kwenye chaji inachelewa sana kuwaka
Radio waachie wachina. Computer nayo ina radio? Download Tunein kwenye iPhone ufurahie maisha. Online radio nzuri sana unasikiliza popote pale.Kwanini watengenezaji wa hizi simu hawakuweka radio? Hata kwa app ya off line?
Wakuu Nawezaje kutoa icloud/apple id kwenye iPhone 6s
Hapo badilisha tu motherboard kama utahitaj nicheck 0784757203
View attachment 1190087.
Iphone yangu ina passcode verification... icloud inagoma kutoka kwenye simu.. japo Apple id na password yake ipo.. nikiingiza inaniambia hiivi[emoji1370][emoji1370][emoji1370]View attachment 1190088
Msaada plz jmn simu nataka niiuze ila hiki ni kikwazo kikubwa..
Mkuu salama,
Tumia wifi kufanya hilo zoezi
Ina maana wakati mwingine ukitumia internet ya kawaida huwa inazingua?Mkuu salama,
Tumia wifi kufanya hilo zoezi
Vipi mkuu unaposema kioo unamaanisha kile cha mbele au cha nyuma?......BEI ZA DISPLAY - IPHONE ALL MODELS.......
* .
* [emoji383] TSH [emoji383] .
.
* * iPhone 3G
* Kioo; 35,000.
.
* * iPhone 3GS
* Kioo; 37,000.
.
* * iPhone 4
* Kioo; 40,000.
.
* * iPhone 4s
* Kioo; 45,000.
.
* * iPhone 5
* Kioo; 55,000.
.
* * iPhone 5c
* Kioo; 55,000.
.
* * iPhone 5s
* Kioo; 60,000.
.
* * iPhone 5 SE
* Kioo; 80,000.
.
* * iphone 6
* Kioo; 80,000.
.
* * iPhone 6plus
* Kioo; 90,000.
.
* * iPhone 6s
* Kioo; 85,000.
.
* * iphone 6s Plus
* Kioo; 95,000.
.
* * iphone 7
* Kioo; 150,000.
.
* * iPhone 7 plus
* Kioo; 180,000.
.
* * iphone 8
* Kioo; 200,000.
.
* * iPhone 8 plus
* Kioo; 250,000.
.
* * iPhone X-SUPER AMOLED.
* .....Kioo;300,000.
.
* * PIA VIOO VYA SIM NYENGINE TUNAAGIZA ...........Samsung,Huawei,Lenovo,Oppo, n.k
* * βπΉ; ππππ βπ πβππΎπβπΈπ, βπΈ ππΈββπΈβππ ππΈ πππΌβ€π πππΌβ€π π
* * Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS)#0784757203
* Whatsapp * #0784757203 .
...LOCATION
*Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
Nauza iphone 7 plus 128GB black. Nimetumia mwezi 1 ty
Vipi mkuu unaposema kioo unamaanisha kile cha mbele au cha nyuma?
Simu yangu Huawei GR5 2017 imepasuka kioo ila touch yake inafanya kazi vizuri kabisa bila dosari yeyote.
Vipi kioo nitapata na kwa bei gani?