Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Kwangu kuna tatizo lilijitokeza kwenye imoges za watsapp kama smile, love .etc kuto onekana yan nilikuwa siwez kuweka ka imag kutoka watsapp je amby alisha pata tatizo la namna hi!
solution ake nili download watsapp imoges i store ikakubal
Msada, tecno P6, nime root kwa kingroot. Nimeweka pollipop launcher lkn ina ganda ganda sanaa. Unaweza gusa contact, ikachelewaaa ...
Kwa wale wenye simu zinazopata iOS 9 halafu zilikuwa zinapata error wakati wa kudownload kwa sasa tatizo limeshatatulia unaweza kupakua iOS 9.0.1
Haisumbui tena cha muhimu ni aidha uwe na wifi yenye strong network au iTunesHaina usumbufu wakat wa kudownload?
Nina Tecno L3, nili lock screen. Sasa mdau ka unlock mara kadhaa. Ime lock jumla. Sasa hapo nafanyaje? Msaada tafadhari!
Nahisi ni Ngumu hata dealers wenyewe mi nilishawahi kumtengea 600,000 anitolee akaniambia haiwezekani. Japo tunatengeneza na kutoa Ushauri juu ya hizi simu.
Ndugu umetokea kigoma nini search Forum zote duniani wanalia na I cloud ni uchawi uliowekwa kiwandani na very difficult to remove sasa kwa nini unasema nothing possible under the sun halafu unasema kuna watu wanaweza kufungua.
Aggrey kariakoo icloud zinanyofolewa deile
Mdau nina iphone 5s imejilock na password naweza pata huduma ya kuiunlock?
You must be kidding guyAggrey kariakoo icloud zinanyofolewa deile
Aggrey kariakoo icloud zinanyofolewa deile
Nenda apple.com utaipata ya windows na iosWakuu naomba mwenye link ya ITUNE mpya aniwekee hapa.