Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,342
Sometime ikitokea hivyo unazima simu alafu unawasha utaiona hotspot...mara nyingi hutokea ukiweka line tuNina iPhone 5s nikiweka line ya halotel inaficha options za personal hotspot lakini nikiweka line za kampuni nyingine options zinarudi...tatizo lawezakuwa ni nini..msaada tafadhali
Sometime ikitokea hivyo unazima simu alafu unawasha utaiona hotspot...mara nyingi hutokea ukiweka line tu
Mie nilizima nikawasha ikakubali au fanya hivi.........Hii yangu tofauti mkuu.. option inakuwepo ila once napo insert line ya hao jamaa wa halotel inapotea...nikirudisha line ya vodacom options zinarudi
Nenda google andika sign up icloud pia unaweza sign up kwa email ako pia jifunze kutumia googleMi nataka kufungua akaunti ya i cloud anae weza anielekeze
Tayari mko nje ya game we mwaka 2017 unatumia sim ya 2010 kaa pembeni apple wanakupa matumiz ya ios kwa miaka 4 sasa we 2017 ishapita miaka7 tupa hyo sim
Simple, Katika device yako ya apple(iPhone au iPad) nenda kwenye settings kisha nenda iCloud, hapo utakuta maneno create iCloud account kama hakuna user alie-log in, ila kama kuna user mwingine lazima u-log out kwa kutumia Password ya hiyo account ya awali ndio utaweza ku-create au ku-log in kwa account nyingine ya iCloud.Mi nataka kufungua akaunti ya i cloud anae weza anielekeze
Iphone 4s toka UK ukieka line za tz hazisomi msaada plz
Basi nawewe unaanza ofcoz nyingi[emoji23] .
Alafu hivi huwa hazitoshi mfukoni eti eh??
Nina Ipod yenye IOS Version 5.1.1 nikiinstall app kama Twitter,JF na nyinginezo naambiwa ni-update IOS version.Je naweza ku-update IOS latest version au kuna njia nyingine kuinstall hizo apps ?
Ndio manake mana kuna mtu alitumiwa ndio kanipa jana, kwaiyo ni kopo tu au kuna maujanja?Inaonekana ni locked kutumika U.K. Na sio nchi zingine kama Tanzania
Ndio manake mana kuna mtu alitumiwa ndio kanipa jana, kwaiyo ni kopo tu au kuna maujanja?
Majibu yako yanaweza kuwa sawa but baadhi ya manna unayotumia si ya kiungwana, naweza kuwa na umri sawa na wazazi wako !!!!Waambie wali reset kwa kutumia rescue email ulioandika wakat wa sign up apple ID na we kichwa panz unasahau vepee maswali yale mie niliweka 2009 mpaka leo nayakumbuka majibu ikishindikana basi ni ku hard reset ambayo itafuta taka zote ulikua nazo humo na utanza kuiset upya na itabid hyo apple ID from now piga chin fungua ingine mana ishakua kimeo itakuletea majanga kama unatuma pia kwa sim.
Majibu yako yanaweza kuwa sawa but baadhi ya manna unayotumia si ya kiungwana, naweza kuwa na umri sawa na wazazi wako !!!!
Iphone 4s toka UK ukieka line za tz hazisomi msaada plz
Niagizie jalala lako nije kuitupa hapo... Wewe huna tofauti na wanaowakataa wazazi kisa wamezeeka au hawana fedha park pembeni nipishe mie
Apple huku hakuna siasa we mswahili nunua simu ingine ukitaka iOS mpya acha mbwembwe unatumia sim hyo nilitumia 2010 ilitoka october nikatumia mpaka june 2011 nikatupa...
km wewe ni mwanaume ni bwege....................... tena mno km umetumia mwaka 2010 tukusaidie je? nilishakuambia wewe ni jinga haswa