iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Sikushauri ununue iPhone 4s kwasababu Apple wataacha ku support soon ndomaana iOS 10 haikubali kwenye 4s na huu ni mwanzo kuwa wana ipiga chini
nakushauri nunua 5c

Nna iphone 5c ya blue... Haina shida yeyote. Nahitaji 350. Ukijitaji nicheki kwa 0653043212
 
5s inaitajika ....gold or silver,16gb fungu lililotengwa n 350k...kama unayo usisite kuni pm
 
niliskia I phone 4 inawezekan Ku bypass na ikafanya kazi vizur nan anaweza utundu huo???? tuelekeze kdg
 
Nauza IPhone products...
Clean condition

IPhone 5c
GB 16
Bei 350,000


IPhone 5s
GB 16
Bei 470,000

IPhone 5s
GB 32
Bei 530,000


IPhone 6
GB 16
Bei 800,000

IPhone 6
GB 64
Bei 850,000

IPhone 6 plus
GB 16
GB 64
GB 128
and
IPhone 6s
Also available

Serious buyer 0654766056


Only Phone with usb charger..
Simu zote ziko kwenye clean condition.
.
 
IPhone 5s
GB 16
Clean condition
Bei 470,000
Phone with Usb charger.
Serious buyer 0654766056

 
Nina iphone 5 nataka kubadilisha motherboard, so mwenye iPhone 5 ambayo anauza vifaa njoo ni dm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…