Waliwezaje wale FBI CIA cjui kuunlock ile iphone ya gaidi
Nadhani Iphone 7 inanihusu
kuna jamaa aliijail break within 72hrs tokea itangazwe. watu nomaaaNadhani Iphone 7 inanihusu
kuna jamaa aliijail break within 72hrs tokea itangazwe. watu nomaaa
wakuu habar zenu
iphone 4s inasumbua charge system ,inacharge af ikiwaka haichaji tena tatzo lake n nn hasa..
na charge system zake nawaze badilisha??
IPad hazikubali whats app mpaka ujailbreak
Jaribu turbo downloader inakubalihat
hata mimi kwenye ipad yangu haikubali kudownload nyimbo na video naambiwa niende kwenye i tunestore nikibonyeza hapo naambiwa service is not available in your country , nimejaribu kuingia appstore kudownload app za kudownloadia nyimbo na video lakn hamna kitu
TOOLS ZIPO ILA NI AGHALI KIDOGO LAKINI PIA KUNA OPTION YA FACTORY OS. IMEI & Factory codes Service News - GSM-ForumNahisi ni Ngumu hata dealers wenyewe mi nilishawahi kumtengea 600,000 anitolee akaniambia haiwezekani. Japo tunatengeneza na kutoa Ushauri juu ya hizi simu.
Sikushauri ununue iPhone 4s kwasababu Apple wataacha ku support soon ndomaana iOS 10 haikubali kwenye 4s na huu ni mwanzo kuwa wana ipiga chiniHabari wakuu napenda kujuzwa ,nimekua nikipata shauku kubwa ya kutumia iphone na nina kiu sana ila lengo langu ni kuweza kupata hata 4s used kwa nzuri kabisa na iwe haijachoka .
Vitu ninavyotaka kujua ni kwamba je ubora wa picha kwa simu hii ukoje?Kwa kua Ios 10 haiko kwa simu hii je kuna madhara au mapungufu gani ambayo user wa kawaida atayaona hasa mtumiaji wa mgeni kabisa wa iphone?Je nitajuaje kua simu ninayouziwa haiko locked kwa icloud ? Bei zake zikoje kwa sasa naomba kuwakilisha