Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Duuuh... Wewe kweli mwana appolo.. Asante bro. Ngoja nijaribu manake hizi MB za haloteli nazitamani sanaHalotel yenyewe configurations zake hazina configuration kwenye hotspot.
Ila kuna namna ya kufanya setting kwenye Cellular Data setting kuiweka. Unacopy like jina la APN kwenye cellular data, unacopy kwenye personal hotspot APN.
Duuuh... Wewe kweli mwana appolo.. Asante bro. Ngoja nijaribu manake hizi MB za haloteli nazitamani sana
Mdaada: simu imestack, nifanye mini ili niweze kurestart?
IPhone 5cNi aina gani ya simu?
Ni aina gani ya simu?
View attachment 401425inaishia halo,hanipi option ya kuweka password au kufanya chochote
Ngoja nijaribuJaribu kubonyeza home button na lock screen button kwa pamoja then hold kwa muda itarestart
hata mimi kwenye ipad yangu haikubali kudownload nyimbo na video naambiwa niende kwenye i tunestore nikibonyeza hapo naambiwa service is not available in your country , nimejaribu kuingia appstore kudownload app za kudownloadia nyimbo na video lakn hamna kituWakuu ni IPhone 4S but haikubali kuhifadhi files za Audio ila kusikiliza nasikiliza vizuri tuu mfano nyimbo
Hili ni tatizo Au ni setting na Kama Ni settings Au tatizo nifanyeje?
Jaribu kubonyeza home button na lock screen button kwa pamoja then hold kwa muda itarestart
Asante sana bro!!! Umenipa maujanja ya maana .Poa.
Ukiweka line ya Halotel nenda kwenye setting > Cellular Data > Cellular Data Network option na andika celldata katika kila APN mpaka kwenye personal hotspot. Automatically utaona hotspot option imerudi.
Kwangu mimi nimeandika 'internet' kwa sababu ni Vodacom, wewe weka 'celldata' kwa Halotel.
Asante sana bro!!! Umenipa maujanja ya maana .
Shukrani mkuu,imeka poa sasa.
Asante sana bro!!! Umenipa maujanja ya maana .
Kwangu imakuja inagoma
Unatumia vodacom? APN imeandikaje?
Ni laki tatu na elfu 50.. Ukishaona K ujue ni laki