I cloud ni nini? mm ni window phone user , nielezeen kdogo mana nimesoma sielewi
Iphone yangu ili dumkia kwenye maji kwa muda kama dakika 1 hvi sasa kwa bahati inapiga kazi vzuri ila inachemka na haitunzi moto kabisaa hili tatizo ntalitatua vpi?Kumekuwa na post nyingi kuhusiana na iphone, uzi huu ni maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za apple. Tupia maswali ama maujanja kuhusu @ios na mambo mengine.
HADI MUDA HUU HUTUJAPATA UFUMBUZI WA HAKIKA WA KUTOA I CLOUD EPUKA MATAPELI, wataalamu karibuni.
Anaesema haiwezekani hajajaribu ama kukutana na wataalam wenye uwezo huo usibishe peleka simu iliyofungwa na watu watafungua vile vile. Sasa hv icloud sio ishu tena
Una I phone? Ambayo ni icloud locked?Icloud hufungui hata Team cook CEO wa apple.!!!!! Hafungui acha saund dunian hapa hakuna wanafungua icloud
Una I phone? Ambayo ni icloud locked?
Icloud hufungui hata Team cook CEO wa apple.!!!!! Hafungui acha saund dunian hapa hakuna wanafungua icloud
Looking for an original, and affordable, iPhone 6 display! You may be PM me if you have it
Acha ubishi zinafunguliwa vizuri wiki iliyopita nimefungua njoo pm .usinipe hela mpaka niitoe.
Mwambie aliyekutumia akupe Apple ID na passwordKuna iPhone nimeletewa inataka Apple ID Kama kuna mtaalamu wa kuweza kuunlock pls!
Kuna iPhone nimeletewa inataka Apple ID Kama kuna mtaalamu wa kuweza kuunlock pls!
Boom j7 unaweza ifanya isome kwenye dvd deki????Kwa matengenezo ya uhakika na salama 100% ya smart phone yako wasiliana nasi kwa namba 0714648822/0768393948 tuna deal zaidi na software za simu aina zote karibuni
Na mimi nina tatizo kama hili. Jamii Forums App haipo iStore.naomba mwenye ujuz jamii forum ili sumbua jana kwe sim yang asa nka i delete naitafuta kwe store siipat tena