Iphone mbona zinakufa sana fingerprint scanner?

Hawa kama mazombie wanatukuza kitu hata kama kibovu kisa US BRAND
Hizi simu ni majanga tu,kuna mtu anayo iphone 6+ yeye akiitumia lazima iwe kwenye chaji kinyume cha hapo akitumia masaa 2 mfululizo chaji out,mwingine nimekutana naye ana hiyo 6+ akizubaa mpaka simu ikaisha chaji lazima ikazinduliwe kwa fundi vinginevyo haiwaki...
 
HAYA MASIMU YANAUZWA GHALI LAKINI FRINGER PRINT BURE KABISAA,
WANAKWANA WAPI HAWA JAMAA WANAZIDIWA NA WAKOREA NA VIMEO VYA KICHINA??

Simu tunatumia gharama kubwa kumiliki miezi kadhaa ina-fail fingerprint tunashindwa kujilinda na wadukuzi tunaoishi nao karibu.
sidhani kama iyo simu ulinunua ikiwa mpya, ujue ukinunua used haina garanti anayekupa garanti ni muongo antaka ununue, huenda ilitumika sana ikaanza tatizo la fingerprint wakafanikiwa kuirekebisha kidogo tu ndio wakauza, ikikufia haina shida, nilinunua X mpya nina miezi 5 sijawahi kutana na tatizo hilo.
 
Hizi simu ni majanga tu,kuna mtu anayo iphone 6+ yeye akiitumia lazima iwe kwenye chaji kinyume cha hapo akitumia masaa 2 mfululizo chaji out,mwingine nimekutana naye ana hiyo 6+ akizubaa mpaka simu ikaisha chaji lazima ikazinduliwe kwa fundi vinginevyo haiwaki...
Mjanga tu haya masimu, tuhamie kwa mjapani au mchina tu. tuwaachie MATAWI waendelee na haya makitu
 
sidhani kama iyo simu ulinunua ikiwa mpya, ujue ukinunua used haina garanti anayekupa garanti ni muongo antaka ununue, huenda ilitumika sana ikaanza tatizo la fingerprint wakafanikiwa kuirekebisha kidogo tu ndio wakauza, ikikufia haina shida, nilinunua X mpya nina miezi 5 sijawahi kutana na tatizo hilo.
Mkuu nina Samsung S5 mwaka wa 5 sasa na FINGERPRINT inafanya kazi kama kawa
 
ukiuliza apple ink unajibiwa.

please apgrade your device,we have improved screen security through face unlock ina iphone x an above.[emoji23][emoji23]
apple ni nyokolist.
 
Sasa kua used ndio zifail? Inaamaana hapa Duniani apple peke yao ndio wanasimu used?[emoji2]
Simu yoyote Used ni majanga haijalishi iwe I phone au Samsung. Tatizo wengi mnanunua hizo I phone kwa ajili ya Show Off tu
 
Sio kweli kua used ni majanga..umenunua samsung used lini ika fail fingerprint? Alafu unajua tunaongelea nn hapa?

kwani simu zinanunuliwa kwa ajili ya kazi gani.mpaka wengine waonekane wananunua kwa ajiri ya maonyesho?
 
Sio kweli kua used ni majanga..umenunua samsung used lini ika fail fingerprint? Alafu unajua tunaongelea nn hapa?
Na tatizo lenu kubwa ni kwamba mnapenda kutumia hizo I phone wakati haziendani na Matumizi yemu ndo maana kila siku mnakuja hapa mnalialia mara Charge , mala sijui nini...Tumieni Simu zinazoendana na matumizi yenu
 
Without research you do not have the right to talk

Hv mnajua Apple wame configure between their logic board, display and finger print sensor?

Chochote kati ya hivyo vitu visipokwa replaced kwa umakini na baadhi ya simu vinahitajika Og matataizo kama hayo lazima yatokee

Tulaumi kwa sababu na si kusema ni error kwao

They intended to do what they did to their devices

Nashukuru kwenye thread nzima nimekutana na mtu anayeelewa anachokiongelea. Hao Android fans they have no clue wanachojua ni kelele tuu. Ulizia hao wenye tatizo hili wote ni baada ya kubadilishiwa vioo na kuwekewa spare dhaifu za kichina. Kuna iPhone 5s ina zaidi ya miaka 5 japo haipo kwangu ila niliyemuuzia bado haija fail touch Id. Same goes to a 6s
 
sidhani kama iyo simu ulinunua ikiwa mpya, ujue ukinunua used haina garanti anayekupa garanti ni muongo antaka ununue, huenda ilitumika sana ikaanza tatizo la fingerprint wakafanikiwa kuirekebisha kidogo tu ndio wakauza, ikikufia haina shida, nilinunua X mpya nina miezi 5 sijawahi kutana na tatizo hilo.

Hongera mkuu, so iPhone X yako ina fingerprint sensor (Touch ID)??
 
We jamaa nazi sana,wapi nimesema natumia iPhone?
Na tatizo lenu kubwa ni kwamba mnapenda kutumia hizo I phone wakati haziendani na Matumizi yemu ndo maana kila siku mnakuja hapa mnalialia mara Charge , mala sijui nini...Tumieni Simu zinazoendana na matumizi yenu
 
[emoji1787][emoji1787] muache mkuu abaki na mentality yake akijua yeye ndio mtumiaji wa kwanza...hawa ndio wale wakiona boxed basi wansema brand-new
Anajua kua ile mi iphone yake anayouziwa kariakoo, au sijuii wapi ni used kabisa ngoja ni niwekee bei za iphone mpya nw sio toka china, mataifa mengine alinganishe bei ajionee mwenyewe
 
ukiuliza apple ink unajibiwa.

please apgrade your device,we have improved screen security through face unlock ina iphone x an above.[emoji23][emoji23]
apple ni nyokolist.

They’re really correct

Do you want to use the device for the lest of your life?!

How will the company grow?!!
 
Back
Top Bottom