Iphone mbona zinakufa sana fingerprint scanner?

Iphone mbona zinakufa sana fingerprint scanner?

Punguza sauti Mkuu wenye Samsung, Techno, itel zao wasikusikie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muda unakimbia,zamani enzi zetu ukiwa mjanja na umeigharamia simu ni ilikua ni kumiliki tusimu tudoogo ukiwa na lisimu likubwa unaonekana fala tuu,Ila Sikh hizi ni kinyume chake MTU anamiliki simu anauziwa na mkoba wake wa kubebea
 
Back
Top Bottom