Iphone mbona zinakufa sana fingerprint scanner?

Nashukuru kwenye thread nzima nimekutana na mtu anayeelewa anachokiongelea. Hao Android fans they have no clue wanachojua ni kelele tuu. Ulizia hao wenye tatizo hili wote ni baada ya kubadilishiwa vioo na kuwekewa spare dhaifu za kichina. Kuna iPhone 5s ina zaidi ya miaka 5 japo haipo kwangu ila niliyemuuzia bado haija fail touch Id. Same goes to a 6s
mpaka simu zinatengenezwa china,ajabu ya spare kutengenezwa china ni ipi?
 
‘DHAIFU’.
Labda neno hili kwako ume ignore kwa bahati mbaya ila naamini haikupigi chenga fasiri yake
hakuna spare thaifu inayofungwa kwenye iphone.

labda ungesema mafundi wanafungua kizembe ungeeleweka,kitu ambacho kingerudisha lawama kwa apple wenyewe.watu hawakosei kufunga supper amoled kwenye samsung pamoja na ugumu wote ule ije kuwa ki fingerprint cha puzzle!!!
 
Ukweli mchungu lkn ndio hvyo yaani
Hii sio sababu kabisaa,inamana wao wanajua kama finger scanner itatumika sana,so why iwe na lifetime ndogo? Mi najua ukishaona kitu kinatumiwa sana basi una fanya improvement kuendana na mahitaji au matumizi
 
Nashukuru kwenye thread nzima nimekutana na mtu anayeelewa anachokiongelea. Hao Android fans they have no clue wanachojua ni kelele tuu. Ulizia hao wenye tatizo hili wote ni baada ya kubadilishiwa vioo na kuwekewa spare dhaifu za kichina. Kuna iPhone 5s ina zaidi ya miaka 5 japo haipo kwangu ila niliyemuuzia bado haija fail touch Id. Same goes to a 6s
usizungumzie yako angalia kwenye soko la simu hapa bongo. huwezi fanya research kwa sample ya simu yako ukaja na majibu
 
hakuna spare thaifu inayofungwa kwenye iphone.

labda ungesema mafundi wanafungua kizembe ungeeleweka,kitu ambacho kingerudisha lawama kwa apple wenyewe.watu hawakosei kufunga supper amoled kwenye samsung pamoja na ugumu wote ule ije kuwa ki fingerprint cha puzzle!!!

Hizo spare unazosema hakuna spare dhaifu, kuna vioo dhaifu vya Samsung ambavyo ukikifunga chenyewe huwezi adjust brightness. Na inakuwa noted kabisa kwenye description kuwa vipo hivyo.

Sikushangai yawezekana hobby yako ni ubishi ila nasikitika huelewi unachokizungumzia.
Nafanya hiyo biashara na najua kuna vioo vizuri na vioo dhaifu na haihitaji rocket science kuvitofautisha. Ukiwa mzoefu utagundua kwa kuangalia tuu quality yake. Kwenye ishu ya spare kuna OEM na Copy, na hilo halipo kwenye iPhone pekee hata Samsung na brands zingine zote duniani Tecno inclusive.
 
Katika hela nilizokuwa nadinduliza ilikuwa bado 2500 tu ili niinunue iphone sasa umeshaanza kunitisha
Nalog off
 
Una uhakika hiyo simu uliinunua ikiwa mpya au ni mtumba?
Mimi mwaka wa pili huu na chuma bado kipya kabisa hakina hata scratch wewe unasema miezi kadhaa?
Mkuu mimi pia nimetumia miaka miwili sasa bila tatizo lolote. Huyo mdau sijui kauziwa fake?!
 
Miaka miwili unajisifia?? watu tumetumia S5 kwa miaka5 Nimepasua kioo juzi ndo nikahamia kwenye SAMSUNG A9 (2016) PRO
 
Hizo spare unazosema hakuna spare dhaifu, kuna vioo dhaifu vya Samsung ambavyo ukikifunga chenyewe huwezi adjust brightness. Na inakuwa noted kabisa kwenye description kuwa vipo hivyo.

Sikushangai yawezekana hobby yako ni ubishi ila nasikitika huelewi unachokizungumzia.
Nafanya hiyo biashara na najua kuna vioo vizuri na vioo dhaifu na haihitaji rocket science kuvitofautisha. Ukiwa mzoefu utagundua kwa kuangalia tuu quality yake. Kwenye ishu ya spare kuna OEM na Copy, na hilo halipo kwenye iPhone pekee hata Samsung na brands zingine zote duniani Tecno inclusive.
kwahiyo mafundi woooote kariakoo hawajui home button genuine ila wewe.

vipo vioo kopy si super amoled,ila linapokuja swala la uwekaji ni matakwa ya mhusika.hili ni tofauti kabisa na spare hii ya iphone tunayoijadili hapa.
 
Nimekupuuza
 
Back
Top Bottom