Iphone mbona zinakufa sana fingerprint scanner?

Iphone mbona zinakufa sana fingerprint scanner?

mkuu samsung s5 mpk s7 zote zina fingerprin kwenye home button lkn hili tatzo sio kubwa kwao km iphone
s5, note4,S6,S7, Note5 ZOTE ZINA FINGERPRINT KWENYE HOME BOTTON NA ZINADUNDA SANA
 
Hii sio sababu kabisaa,inamana wao wanajua kama finger scanner itatumika sana,so why iwe na lifetime ndogo? Mi najua ukishaona kitu kinatumiwa sana basi una fanya improvement kuendana na mahitaji au matumizi
iphone kufa finger print sensor ni kawaida, sababu inatumika sana. Finger print sensor za simu nyingi zipo nyuma ya simu, hivyo watu wanafungua simu kwa pattern or keylock, wakati iphone almost kila mtu anafungua kwa finger print sensor. Pamoja na yote sijawahi kutana na iphone iliyokufa finger print sensor.
 
Swala la hapa, mbona husikii brand zingine zote kufail fingerprint na ni refurbished vile vile? Hapa jamaa wame chemka..na hii kesi ingekua labda kwa samsung basi apple fan wangesema Samsung kweny finger wamefeli [emoji2]
hizi simu hasa high end brands, ukinunua zaidi ya miaka miwili kwenda juu tangu itoke leo hii ni kwa asilimia ndogo sana ukapata mpya kbsa, mfn leo hii ukanunue iphone 6 k.koo
utaishia
refublishe, carrier unlocked au mtumba kbsa, na ndio zilizojaa k.koo, unless uagizie kwenye stores zao au kwa ma verified agents.
ukiambiwa brand new full boxed jiongeze na wewe, hakuna simu mpya kbsa(specialy hizi brand kubwa halafu isiwe sealed(japo kua sealed haimaanish zote ni mpya) wajuzi kucheza na akili za wateja wanaokalili hapa wananielewa.
 
mpk imezoelekaa,
mtu akiwa anauza iphone, katika hali i mean conditions za simu wanaongezea

Fingerprint : working,
haya maneno ni nadra sana kuyakuta kwenye samsung.

Na wateja wengene wanauliza kbsa vipi fingerprint.
 
ila ni kwelii hii issue ingekua kwa samsung, aseee apple fans wa wangesema sanaa,
Isheep ndio zao...inafika stage hata feature isipokuepo kweny apple wanaona sio ya muhimu...ikija kutoka badae ndio wanaona ina muhimu

Angalia walikua wanaona dual camera sio deal,juz sasa ndio wamefungiwa wide angle wanaona eti ishakua deal

Dark mode nayo walikua wanaona haina deal..juzi kweny iOs 13 walivyowekewa ndio wanaona dark mode ni deal..[emoji1787][emoji1787]

Walikua wana diss screen kubwa,ila apple alivyo introduce screen kubwa nao ndio wanaona deal

Saiz si unaona hawana in display finger print,wanaona sio deal

Subri apple wakija wafungia baada ya miaka mi 5 huko ndio wataona imekua deal
 
Ni failure hii alaf eti wanasingizia refurbished [emoji1787],sasa nani ni bora anaepiga kazi akiwa brand new peke yake au yule hata akiwa refurbished bado anadunda... apple fan wanauziwa logo tu saizi
mpk imezoelekaa,
mtu akiwa anauza iphone, katika hali i mean conditions za simu wanaongezea

Fingerprint : working,
haya maneno ni nadra sana kuyakuta kwenye samsung.

Na wateja wengene wanauliza kbsa vipi fingerprint.
 
Una uhakika hiyo simu uliinunua ikiwa mpya au ni mtumba?
Mimi mwaka wa pili huu na chuma bado kipya kabisa hakina hata scratch wewe unasema miezi kadhaa?
mkuu embu niambie umenunua wapi yako maana nina mpango wa kununua next week..
 
Na kati ya vitu ambavyo watumuaji wa iphone wamesaidiwa ili kuepuka kuuziwa simu used kwa dhana ya mpya au iliyochoka kwa dhana ya imetumika kdg na hawajui,

NI KWA KUWEKEWA BATTERY HEALTH,

mtu akiambiwa tuu brand new fullboxed na akiona kale ka apple kana waka waka anazamaa mfukoni,

unafika home unakutana na battery health 90% lets take example iphone 7+, kaa kbsa ukijua hio simu imetumika sio chini ya mwakaa,
iphone za sasa iliyovizuri average kwa mwaka inashuka 5% kwaio 95% baada ya mwaka,

sasa wewe unanunua iphone ina 80% hahaaaa my dear hio hata apple store hawaitambui kwenye warranty.

Hivi ulishwahi jiuliza kwa nn warranty za simu wanaweka 2yrs in max?
 
iyo ni refubrished
HAYA MASIMU YANAUZWA GHALI LAKINI FRINGER PRINT BURE KABISAA,
WANAKWANA WAPI HAWA JAMAA WANAZIDIWA NA WAKOREA NA VIMEO VYA KICHINA??

Simu tunatumia gharama kubwa kumiliki miezi kadhaa ina-fail fingerprint tunashindwa kujilinda na wadukuzi tunaoishi nao karibu.
 
Isheep ndio zao...inafika stage hata feature isipokuepo kweny apple wanaona sio ya muhimu...ikija kutoka badae ndio wanaona ina muhimu

Angalia walikua wanaona dual camera sio deal,juz sasa ndio wamefungiwa wide angle wanaona eti ishakua deal

Dark mode nayo walikua wanaona haina deal..juzi kweny iOs 13 walivyowekewa ndio wanaona dark mode ni deal..[emoji1787][emoji1787]

Walikua wana diss screen kubwa,ila apple alivyo introduce screen kubwa nao ndio wanaona deal

Saiz si unaona hawana in display finger print,wanaona sio deal

Subri apple wakija wafungia baada ya miaka mi 5 huko ndio wataona imekua deal
Mkuu sasa hivi wamewekewa keyboard unaunganisha maneno hapo hapo na wanashangilua nimesahau wanavyoiita hahaha
 
mpk imezoelekaa,
mtu akiwa anauza iphone, katika hali i mean conditions za simu wanaongezea

Fingerprint : working,
haya maneno ni nadra sana kuyakuta kwenye samsung.

Na wateja wengene wanauliza kbsa vipi fingerprint.
kweli aisee ni added advantage
 
Without research you do not have the right to talk

Hv mnajua Apple wame configure between their logic board, display and finger print sensor?

Chochote kati ya hivyo vitu visipokwa replaced kwa umakini na baadhi ya simu vinahitajika Og matataizo kama hayo lazima yatokee

Tulaumi kwa sababu na si kusema ni error kwao

They intended to do what they did to their devices
 
HAYA MASIMU YANAUZWA GHALI LAKINI FRINGER PRINT BURE KABISAA,
WANAKWANA WAPI HAWA JAMAA WANAZIDIWA NA WAKOREA NA VIMEO VYA KICHINA??

Simu tunatumia gharama kubwa kumiliki miezi kadhaa ina-fail fingerprint tunashindwa kujilinda na wadukuzi tunaoishi nao karibu.
I phone zenyewe mnanunua used za makumbusho alafu unakuja kulialia hapa
 
Back
Top Bottom