Ram yake ni6 nyingine 8 ko nahis alinishaur vizurChief-Mkwawa naomba ushauri wako tafadhali,nahitaji simu ambayo ni high quality kadri ya budget yangu ilivyo,bajeti yangu ni kati ya 500k-550k,katika ufukunyuzi wa hapa na pale niliona watu wakiisifia sana OPPO F5 ambayo inauzwa around bei hiyo,nami nilipochimbua nikavutiwa specs zake.Izingatiwe kuwa nahitaji simu ambayo walau inatunza chaji na haipati moto coz mie ni mtumiaji sana wa internet,pia camera bora kwa ajili ya issue ya kuscan documents kiofisi zaidi.Kwa neno lako litanifanya nisibahatishe kununua simu.AHSANTE
Chief-Mkwawa naomba ushauri wako tafadhali,nahitaji simu ambayo ni high quality kadri ya budget yangu ilivyo,bajeti yangu ni kati ya 500k-550k,katika ufukunyuzi wa hapa na pale niliona watu wakiisifia sana OPPO F5 ambayo inauzwa around bei hiyo,nami nilipochimbua nikavutiwa specs zake.Izingatiwe kuwa nahitaji simu ambayo walau inatunza chaji na haipati moto coz mie ni mtumiaji sana wa internet,pia camera bora kwa ajili ya issue ya kuscan documents kiofisi zaidi.Kwa neno lako litanifanya nisibahatishe kununua simu.AHSANTE
Asa google pixel gani ni lak 5 bhana izo ni bei sanaausinunue oppo mkuu, hiyo ni kama tecno tu ya china, yani ni simu ya low classed people china, kwa hiyo 500k una wide range ya simu kali, nunua google pixel XL, ukishaipata rudi huku utoe mrejesho tuone utavokuwa na furaha
Hata
Ram yake ni6 nyingine 8 ko nahis alinishaur vizur
Asa google pixel gani ni lak 5 bhana izo ni bei sanaa
Redmi note 8 pro ni nzuri kwa hio bei, sema ni ya kuagizishia online.Mimi
Alinambia ni XIAOMI REDMI NOTE 8 PRO
Bas inakuwa haijiwezi kama hiyo ya ya laki 8google pixel XL ni laki tano mzee, mi natumia 2 XL nilinunua laki nane
Kwa laki 6 je😘😋😋Redmi note 8 pro ni nzuri kwa hio bei, sema ni ya kuagizishia online.
Kaka basi tusaidiane contact zangu ni 0623011171 wasap
Samahi bro nnashida ya kudaka sim kali naomba tuchonge whatsapp namba yangu ni0623011171 asante
Usiwe mpuuzi kiasi hicho, kama unashida kuwasiliana nae binafsi nenda PM mtachati huko atakuelekeza kila kitu,B
Basi nicheki wewe. Mkuu.........
True chiefsi kweli, simu zenye camera nzuri ni nokia 808, lumia 1020, galaxy k zoom, panasonic lumix etc ila zote hizo hazina experience nzuri ya smartphone. zina outdated software na maumbo yake ni makubwa.
kwa hizo hapo mbili note 4 ina camera nzuri zaidi
si kweli, simu zenye camera nzuri ni nokia 808, lumia 1020, galaxy k zoom, panasonic lumix etc ila zote hizo hazina experience nzuri ya smartphone. zina outdated software na maumbo yake ni makubwa.
kwa hizo hapo mbili note 4 ina camera nzuri zaidi
oppo the best ...iphone haioni ndaniHivi ni kweli kwamba katika smartphone camera iphone ndo yuko vizur? Maana nahitaji ninue kati ya iphone 5s au galaxy note 4 naombeni mawazo yenu...
Redmi note 8, realme 5,Mkuu kwa bajeti ya 300k mpaka 400k naweza pata simu ipi nzuri hasa ukizingatia upande wa camera na utunzaji wa chaji. lakini isiwe kati ya kampuni ya Samsung or huawei
Redmi note 8, realme 5,
Ukichukua Google pixel 4 kisha ukija kwenye camera utagundua kuwa iPhone ni trash
Ni kweli mkuu, redmi note 8 ni choice nzuri zaidi. Na kama unapata redmi note 7 pro kwa bei nzuri ni bora zaidi.Niliwahi sikia kuwa hii realme 5 huwa haina band ya 4g kwa baadhi ya mitandao hapa nchini
Uzuri wa Note 8 pro ni simu yenye nguvu sana kwa vitu built in ipo vizuri, ubaya wake inatumia mediatek hivyo itakuwa limited kwenye developer support, kwa sasa port ya GCam ipo kwenye hii xiaomi sema ni version ya zamani, version mpya kuna vitu vingi bado havifanyi kazi. Simu nyingi za kichina zina hardware nzuri ila software si nzuri hivyo ukipata software nzuri kama Gcam inasaidia sana kwenye quality ya picha.Kati ya redmi note 8 pro vs iphone 7plus ipi inapiga picha nzur na ipi iko worth kwa 2019?