iPhone Fold itagharimu hadi Million 6 hivi za Kitanzania!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
33,719
Reaction score
97,554
Wakati wa kuzindua iPhone 18 series itatoka na iPhone Fold. Ni iPhone ya kukunja ya kwanza kutoka Apple.
Base model ya 256 GB itakua $1,999 wakati ya juu ya 1TB itakua $2,400.

Hapo bado ushuru, na faida za wenye maduka.

Kazi ipo.
 
Hiyo bado ni bei ndogo nikilinganisha na simu za gharama zilizopo duniani huko
 
Labla niseme mm n mshamba, ila hata niwe na pesa vp, sitokaa nitumie simu ya fold
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…