elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
MKuu nakuchek inbox unichek kwenye namba yangu maana kwa kucopy naona kama ni garasa katisha maana UI ka OG nakupa namba yangu nitxt kawaida then ntakuscreenshot vitu vya kuangalia nijiridhshe.Nimetuma screenshot ya find my iPhone
Kwenye screenshot yako ya pili kitu pekee kinachonifanya nihisi sio OG ni font za Airtel na % ya betri kuwa bolded wakat saa tu ndiyo inabidi iwe bolded mengine yawe kawaida