Wakuu habar zenu. Nilinunua iphone 6 yapata miez mitatu sasa, jana tarehe 27 nov imepata ajali kioo kimepasuka. Nomba kuuliza kama naweza fanyia repairing na itacost sh ngap kwa kioo au kama inawezekana kuiuza kama screpa
Tunajua wewe n fundi kakiletea mtu utengeneze ila tu hujui wapi spare zake znapatikana. Sasa basi ebu ni pm nije ofcn kwangu kkoo kuna kila kitu za iphone 6 ila usipingukiwwe kal 6 jumla na matenfenezo asante