Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,278
- 44,414
- Thread starter
- #21
2achane na hlo pia nina swala lngne la msingi hv camera quality ya cmu inavyokuwa nzuri na vi2 vngne kaa hvyo,compliments apewe nani manufacturer wa cmu i.e htc,sony,samsung au aliyetengeneza os ambaye ktk hzocmu nilizotaja ni android
anapewa manufacture wa simu. Mfano kambi yako unayoipenda ya android mwenye camera nzuri ni sony pekee hao wengine ndo walipuaji hasa htc.
Os inakuja play part kwenye feature za hio camera sasa kuna vitu kama panorama, lens apps, na vifananiavyo ndo vinakua determined na os.
Kama ingekua os ndo inadetermine quality basi simu zote za android zingekua na picha quality moja.