ThinkPad
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 1,844
- 236
Sijaona cha maana mnachobishania, hizi smartphones sku hizi nyingi ni nzuri tu, processor kubwa, battery life wanajitahidi, screen resolution, lightness, camera quality, na durability ndiyo misingi inayojenga most ya smartphones. Then comes the software part. All in all inabaki kwa mtumiaji kuchagua kulingana na upendeleo wake. Mimi siku zote natumia iPhone, ilvotoka 4s nlinunua mbili kwa ajili yangu na mkewangu, yeye hakuipenda kabisa iPhone, ikabidi nimnunulie galaxy sIII ambayo anaipenda vibaya mno, wakati huo mimi nikishika simu yoyote ya android siionei maana! Hakuna simu ambayo ni "the best"!
Umesema Kweli tupu kwa watu wa IT android inafaa especial mimi hivyo kila mtu na mpenzi yake
Ila kuna latest news ambayo si nzuri kwa w8
Ni kwamba Google Has No Plans To Build Apps For Windows Phone 8
Sosi :
http://www.geeky-gadgets.com/google-has-no-plans-to-build-apps-for-windows-phone-8-13-12-201/
Mchana mwema
Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2