Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,278
- 44,414
Kabla iphone 5 haijaisha ladha tayari kumeshaanza rumours nyengine za iphone 5s je kunani apple?
Leo asubuhi nilikua napitia habari fulani theverge walikua wameandika kua polisi nchini australia wametoa warning la kuwa makini pindi watu wanapotumia maps za apple maana kuna watu walikua wanaenda tembelea mbuga za wanyama wakajikuta wamepotea kilomita 70 deep eneo lenye joto nyuzi 46 kama sio kijiji kimoja kilichopo eneo hilo jamaa wangeweza poteza maisha.
Ndipo jamaa mmoja alicoment picha moja funny sana kuwa dunia kwa muono wa watu ipo duara au kama hivi
lakini kutokana na muono wa apple dunia ipo hivi
je why hadi imefikia huku? Jibu ni rahisi tu iphone 5 imefeli na kurudisha nyuma sana reputation ya apple na iphone kwa ujumla.
Na wao kuliona hilo wamereact fasta na tayari leaks zimeanza kutoka na baadhi ya nlizozisoma ni hizi.
multiple colors
iphone 5s tofauti na wenzake wa nyuma itaanza kutoka rangi tofauti na nyeusi na nyeupe so hapa tutegemee rangi kama nyekundu cyan na njano ziwepo
hd screen
pia kuna rumours kua itasuport full hd katika 1080p na kua na pixel per inch 400 other rumors zinasema camera ndo itasuport full hd
battery
tetesi zinaendelea wamepanga kuimprove battery ili ikae na chaji sana kuliko ya sana sjui itakua bigger au better
kusupport nfc
kwa wasiojua nfc kirefu chake ni near field communication ni technology kama bluetooth inayoruhusu device kushare vitu vikiwa karibu. Hii kitu tayari ipo kwa manufacture kama nokia na samsung na apple naona nao wanafuatia.
Je apple ataweza kurekebisha makosa yake kwenye iphone 5s?