Iphone 5s imeji-zoom nawezaje kuitoa?

Iphone 5s imeji-zoom nawezaje kuitoa?

Bado tatizo lipo mkuu, sijafanikiwa chochote mpaka sasa Natumia itunes 12.1.2.27 mkuu, nikikonekti inagoma na inasenma Itunes can`t connect. Sasa nashindwa namna ya kuikonekt itunes ilete ku restore. nadhani sababu ya passcode, hapo nafanyaje?

Ukiwa umeiconnect kwenye PC Hold home button mpaka itakapowaka na kukuletea icon (logo) ya iTune. Nimeattach picha ili uone vile itakuwa.

ImageUploadedByTapatalk1435378912.169385.jpg

Hapo itakubali kuonekana kwenye iTunes na utaweza kuirestore.
Kwakuwa simu ni yako nauhakika utaweza kuitumia baada ya hapo.🏼️
 
Hiyo itune iko sawa sasa unachotakiwa iunganishe kwenye computer yako then bonyeza POWER button na HOME button Mpaka ionekane logo ya APPLE then unaachia POWER button unaendelea kubonyeza HOME button mpaka ikuonyeshe alama ya ITUNE ili uiweke kwenye DFU
Bado tatizo lipo mkuu, sijafanikiwa chochote mpaka sasa Natumia itunes 12.1.2.27 mkuu, nikikonekti inagoma na inasenma Itunes can`t connect. Sasa nashindwa namna ya kuikonekt itunes ilete ku restore. nadhani sababu ya passcode, hapo nafanyaje?
 
Haha nakumbuka Android yangu ya zamani. Nayo niilienda ktk Accessibility.. Nikaweka TalkBack on. Nilikoma mbona hAhaha jasho lilinitoka masaa 2. Simu kioo haki function. Lile demu (sound) linaongea tu kila ukiguza kioo. Lock kutoka haitoki.

Verry annoying.
 
Back
Top Bottom