Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,062
- 3,620
Habari ya mchana ndugu zanguni? Kuna iphone 5s hapa ya dada yangu katika kuichezeachezea kaizoom sasa anashindwa kufanya lolote, nimeikonekti itunes lakini inasema mpaka aingize passcode alizoweka na passcode hawezi kuingiza kwasababu imejizoom. Je kuna namna ya kufanya hapo? Ama kuirestore inakuwaje?