iPhone 5 for sale (590,000)

iPhone 5 for sale (590,000)

Umasikini n mbaya sana..
Mkuu inaelekea hauna ela alafu unatumia tecno ndo maana unatoa povu sana.!
HA HA HA hiyo ndiyo simu gani? natumia latest APPLE zote unazozijua wewe, na huu ni mwaka wa sita sasa natumia apple, nitanunua vipi USED iPhone 5 wakati wanatumi 5s 64GB, sio kila mtu humu yuko bongo HAHAHAHAHA
Nachojua mimi MASIKINI UPENDA kuipata watu masikini, ujamchunguza mtu kujua uchumi wake unaibuka na matusi, DAH
 
Hiyo ndio ORGINAL PACK ya 5s na kuna USB imechoka na hivyo vingine vipya? mbona una unga unga mambo, hizi simu sema unakotoa, nimekuuliza una ushahidi wa manunuzi ujajibu mpaka sasa, ili tuone kama imetoka source halisi na ni yako kihalali, POVU la nini?

Pia hiyo charger sio part ya USA APPLE store Apple World Travel Adapter Kit - Apple Store (U.S.) hakuna the like kama yako, Kukaa kwenye box sio hoja, maana aliye chakachua anaweza tengeneza box safi tu, hata za kichina zina box safi tu, jibu nilichouliza, sio unauza vitu halafu unakuwa mkali,
Vipi ukimuuzia mtu kisha ikaleta longo longo si unampiga risasi, hiyo 5s unayosema watu tumeshaizeesha na charger yake ndio hiyo kwenye pic, zinaendana na ua 5.
wewe jieleze vizuri watu tununue mzigo

Bas tufanye tushajua kwamba wte mnazjua iPhone..ok..turud upande wa biashara..kak chukua 470 ila mm naomba niwekee imei number apa ntainglia kam ni apple product au la coz kna system ya kuanglia cm original online kwa kutumia imei..fanya hvo mkuu
 
Wakuu mbona nilishaandika kuwa 'imeuzwa',, au hamkuona.. Narudia tena --->> IMESHAUZWA aka SOLD!! topic closed!!
 
Back
Top Bottom