Una ushahidi wowote wa manunuzi ya hiyo simu? taarifa tafadhali
i hope note, maana find my phone haitoki kwenye IOS 7, lakini pia hizi smart phone sio ya kununua kwa kuaminiana tu mtu, unaweza jutaAmekwapuliwa mtu hiyo. Ndio maana mnaambiwa kupandisha vioo vya gari wakati ukiongea na simu.
iPhone 5 for sale, IOS 7, 16GB Capacity, Black, Factory Unlocked..
0716-904626, 0767-174757, Arusha..no charger.
Mhhh - Tatizo!!!!!!
Una ushahidi wowote wa manunuzi ya hiyo simu? taarifa tafadhali
Amekwapuliwa mtu hiyo. Ndio maana mnaambiwa kupandisha vioo vya gari wakati ukiongea na simu.
wenzako wanasema 590k bei ndogo, wewe huko ulipotokea unakuja na bei yako ya 390k..nishapandisha bei mpaka 650k, nakununulia na charger mpya!16GB unauza 590 and ikiwa 36GB utauzaje sasa tena bila charger ?Hauko serious wewe hiyo upewe 390,charger nitanunua mwenyewe
wenzako wanasema 590k bei ndogo, wewe huko ulipotokea unakuja na bei yako ya 390k..nishapandisha bei mpaka 650k, nakununulia na charger mpya!
Charger ipo ila imeungua bana na hii simu ni yangu haikuibiwa ndio maana haina iCloud lock. Au nikuuzie na charger iliyoungua? Nina iPhone 5S ndio maana nauza hii kwa bei hiyo. Otherwise kama unaona 590,000/= ni bei ndogo sana nipe 650,000/=. Ukihitaji kuiona tuwasiliane..
![]()
wenzako wanasema 590k bei ndogo, wewe huko ulipotokea unakuja na bei yako ya 390k..nishapandisha bei mpaka 650k, nakununulia na charger mpya!
16GB unauza 590 and ikiwa 36GB utauzaje sasa tena bila charger ?Hauko serious wewe hiyo upewe 390,charger nitanunua mwenyewe
Hiyo ni market strategic yao, bila kufanya hivyo wangekufa kama BB, wanajaribu kupenda kwa soko la chini pia kwa kutumia hiyo njia ya pricingHivi kwann bei ya iphone huwa haishuki fasta kama samsung?
Mkuu hiyo sio ORGINAL charger ya iPhone 5 hata kama imeungua, charger yake ni hiyo hapo kwenye pic niliyoweka, nadhani simu yako inaweza kuwa sana na charge yake, then sio GENUINE apple product
View attachment 164394