Hiyo ndio ORGINAL PACK ya 5s na kuna USB imechoka na hivyo vingine vipya? mbona una unga unga mambo, hizi simu sema unakotoa,
nimekuuliza una ushahidi wa manunuzi ujajibu mpaka sasa, ili tuone kama imetoka source halisi na ni yako kihalali, POVU la nini?
Pia hiyo charger sio part ya USA APPLE store
Apple World Travel Adapter Kit - Apple Store (U.S.) hakuna the like kama yako, Kukaa kwenye box sio hoja, maana aliye chakachua anaweza tengeneza box safi tu, hata za kichina zina box safi tu, jibu nilichouliza, sio unauza vitu halafu unakuwa mkali,
Vipi ukimuuzia mtu kisha ikaleta longo longo si unampiga risasi, hiyo 5s unayosema watu tumeshaizeesha na charger yake ndio hiyo kwenye pic, zinaendana na ua 5.
wewe jieleze vizuri watu tununue mzigo