Iphone 4s with no SIM card slot...

Iphone 4s with no SIM card slot...

miagie

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
215
Reaction score
76
Nimeletewa simu tajwa hapo juu kutoka marekani, tatizo lake haina sehemu yakuweka line
(iphone 4s with no SIM card slot)
Vipi hapa Tanzania nawezaje kuitumia hii phone kwa service providers waa hapa???
Je wanaweza kuconfig nitumie namba yangu bila kuweka line????
 
Hizo simu huwa ni kwa ajili ya maonesho tuu... Huwekwa showroom ili wateja waweze kuzi expirience feature za simu husika ila huwa hazina uwezo huo unaotaka wewe wa kuwekwa line..!!
Hata kwenye maduka makubwa yanayouza simu pamoja na vituo vya huduma kwa wateja mikoani huwa simu hizo zinakuwepo ....
Nadhani kwa kiasi flani nimekujibu
 
hiyo simu ni cdma model ya iPhone, ukiangalia nyuma ya cover la simu utaona imeandikwa 'A1387' kwamba ni 'cdma model' ya iPhone 4s. Hizo ni simu ambazo hazitumii line kama simu zingine za kawaida. Inabidi utafute mtandao ambao unatumia cdma technology hapa Tzania. Nadhani huku kwetu TTCL ndiyo yenye (CDMA) Code Division Multiple Access, unaweza kwenda kuwaona kwenye ofisi zao. Zantel nao walikuwa wana mpango huo wa kuweka cdma sasa sijui kama walishakamilisha. Otherwise hautaweza kutumia kwa mawasiliano ukiwa huku,,
 
Nimeletewa simu tajwa hapo juu kutoka marekani, tatizo lake haina sehemu yakuweka line
(iphone 4s with no SIM card slot)
Vipi hapa Tanzania nawezaje kuitumia hii phone kwa service providers waa hapa???
Je wanaweza kuconfig nitumie namba yangu bila kuweka line????
hivi huyo aliyekuletea hakuwa na exprnc yoyote na hiyo cm kwa mazingira ya nchi tofauti..maaana wengine mnanua cm za wizi then mna anza kusumbua watu!!
 
hiyo simu ni cdma model, ni simu ambazo hazitumii line. Inabidi utafute mtandao ambao unatumia cdma technology hapa Tzania. Otherwise hautaweza kutumia kwa mawasiliano ukiwa huku,,

nafikiria kwa Tanzania zantel na ttcl MKUU
nimesema hivi kutokana wana modem za technology hiyo??

ngoja wataalam waje
 
Hizo simu huwa ni kwa ajili ya maonesho tuu... Huwekwa showroom ili wateja waweze kuzi expirience feature za simu husika ila huwa hazina uwezo huo unaotaka wewe wa kuwekwa line..!!
Hata kwenye maduka makubwa yanayouza simu pamoja na vituo vya huduma kwa wateja mikoani huwa simu hizo zinakuwepo ....
Nadhani kwa kiasi flani nimekujibu

??????????????..................
 
Nimeletewa simu tajwa hapo juu kutoka marekani, tatizo lake haina sehemu yakuweka line
(iphone 4s with no SIM card slot)
Vipi hapa Tanzania nawezaje kuitumia hii phone kwa service providers waa hapa???
Je wanaweza kuconfig nitumie namba yangu bila kuweka line????

Hizo simu huwa ni kwa ajili ya maonesho tuu... Huwekwa showroom ili wateja waweze kuzi expirience feature za simu husika ila huwa hazina uwezo huo unaotaka wewe wa kuwekwa line..!!
Hata kwenye maduka makubwa yanayouza simu pamoja na vituo vya huduma kwa wateja mikoani huwa simu hizo zinakuwepo ....
Nadhani kwa kiasi flani nimekujibu

Mkuu miagie, simu hizo ambazo zinakuwa hazina line ni zile ambazo zinakuwa na mfumo wa Code division multiple access (CDMA), kwa hapa Tanzania tuna makampuni mawili tu yanayotumia CDMA ambayo ni TTCL na Zantel. Hakuna uwezekano wa kuitumia simu hiyo kwa Mitandao yote hapa Tanzania kutokana na kutokuwa na uwezekano wa kuziunganisha. Kuna kipindi nilijaribu kufanya mazungumzo yasiyo rasmi na makampuni tajwa hapo juu kupitia Operators wake na ikaonekana huo mfumo kwao ni mgeni kabisa japo wako kwenye CDMA
Note: Watz wengi wamekuwa wakinunua simu from Ebay pasipo kusoma Description ya simu Husika.Tembelea Godfrey Electronics kwa maswali zaidi
 
Last edited by a moderator:
Sasa hiyo inabidi tu lazima aende kwenye hayo makampuni mawili kuomba ufumbuzi.

Wakuu nami nina shida kupitia huu uzi japo ni tofauti,nina simu yangu Samsung Galaxy S4 GT 19500 sasa imeharibika sehemu ya kuweka line yaani line haisomi !!

Kuna uwezekano wa kupata ufumbuzi wa tatizo maana inatumia Micro sim card line ilikatwa vibaya ikaharibu vibati vya kuwezesha line kusoma.

Kwaujumla ninayo tu ila sijajua km kuna uwezekano wa kupata ufumbuzi. Niko mkoani japo kuna jamaa yangu anakwenda Dar hivi karibu,ilinunuliwa ughaibuni nimeitumia hapa Tz kama siku 5 tu.
 
ahsante kiongozi kwa ufafanuzi....
 
Hizo simu huwa ni kwa ajili ya maonesho tuu... Huwekwa showroom ili wateja waweze kuzi expirience feature za simu husika ila huwa hazina uwezo huo unaotaka wewe wa kuwekwa line..!!
Hata kwenye maduka makubwa yanayouza simu pamoja na vituo vya huduma kwa wateja mikoani huwa simu hizo zinakuwepo ....
Nadhani kwa kiasi flani nimekujibu

ahsante bt ur wrong hizi simu marekani zinatumika n kampuni kama Verizon wanaweza kuiassign number unayotaka wewe tatizo aliyeleta ni mzungu n hakujua kama technologia hiyo hapa bongo haipo...
 
Hizo simu huwa ni kwa ajili ya maonesho tuu... Huwekwa showroom ili wateja waweze kuzi expirience feature za simu husika ila huwa hazina uwezo huo unaotaka wewe wa kuwekwa line..!!
Hata kwenye maduka makubwa yanayouza simu pamoja na vituo vya huduma kwa wateja mikoani huwa simu hizo zinakuwepo ....
Nadhani kwa kiasi flani nimekujibu
Khaaaa
 
Mkuu Kennedy Samsung kibao sana zinavunjika au kupinda hivyo viterminal vya line. Tafuta fundi aifungue kwa uangalifu na kubadili hizo terminals.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kennedy Samsung kibao sana zinavunjika au kupinda hivyo viterminal vya line. Tafuta fundi aifungue kwa uangalifu na kubadili hizo terminals.

Mkuu DreamChaser
nashukuru kwa ushauri wako kumbe ni tatizo lenye ufumbuzi nitajitahidi kufanya kama ulishauri vema.😛oa
 
hivi huyo aliyekuletea hakuwa na exprnc yoyote na hiyo cm kwa mazingira ya nchi tofauti..maaana wengine mnanua cm za wizi then mna anza kusumbua watu!!
kwa iphone watakamatwa wengi coz uwezo wakutoa icloud find my iphone bado sana huku kwetu,labda uzunguni huko
 
Sasa hiyo inabidi tu lazima aende kwenye hayo makampuni mawili kuomba ufumbuzi.

Wakuu nami nina shida kupitia huu uzi japo ni tofauti,nina simu yangu Samsung Galaxy S4 GT 19500 sasa imeharibika sehemu ya kuweka line yaani line haisomi !!

Kuna uwezekano wa kupata ufumbuzi wa tatizo maana inatumia Micro sim card line ilikatwa vibaya ikaharibu vibati vya kuwezesha line kusoma.

Kwaujumla ninayo tu ila sijajua km kuna uwezekano wa kupata ufumbuzi. Niko mkoani japo kuna jamaa yangu anakwenda Dar hivi karibu,ilinunuliwa ughaibuni nimeitumia hapa Tz kama siku 5 tu.

Ukikuta fundi mzuri pale kariakoo (Aggrey Street) tatizo lako linakwisha kabisa tena kwa pesa isiyozidi hata elfu 25, pale SAPNA huwa wanacharge kama 50000 hivi lkn itabidi uwaachie simu kwa mda kidogo
 
Back
Top Bottom