Iphone 4 32gb

shosti

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
4,906
1,504
samahani wakubwa Tanzania inauzwa kiasi gani kuna mtu anaulizia sasa mimi uzoefu wangu ni tochi,naomba msaada wenu tafadhali.
 
The price is around 1.4 million unaweza kwenda kuangalia pale SAPNA ELECTRONICS
 
Haulizii bei za SAPNA anaulizia bei zetu za kijamii jamii kaka...lol

1.4 M unanunua kiwanja kariakoo..lol

Sasa wewe unataka vitu vizuri kwa bei za ice cream za Azam? Mi nauza iPhone 4 16GB Tsh. 1,300,000 original with 1 year warranty.

I believe nauza bei ya chini hapa Dar es Salaam kuliko muuzaji yeyote!!
 
kama una mtu anatoka pande za huko majuu muagize akutumie mkuu.. hizi za hapa watakupiga bei ghali na unaweza kuta sio kitu genuine vile vile last time ilikua 1.3 pale sapna nadhani itakua ishashuka
 
Mkuu kwa taarifa yako tu kwamba hata ukiagiza hii simu bado cost yake plus applicable taxes & clearing charges utakuta gharama itakuwa milioni moja na zaidi.
 
Hapo kwenye "deep green", ina maana hizo gharama zinachajiwa airport...lol
 
nashuku wapendwa kwa msaada wenu,mungu awabariki sana
 
Sasa wewe unataka vitu vizuri kwa bei za ice cream za Azam? Mi nauza iPhone 4 16GB Tsh. 1,300,000 original with 1 year warranty.

I believe nauza bei ya chini hapa Dar es Salaam kuliko muuzaji yeyote!!
Mwambie huyo sijui anafikiria maembe hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom