Hio charger umejaribu kwenye simu nyingine na ikafanya kazi?
Kama inafanya tatizo linaweza likawa kwenye betri au sehemu ya kuchomeka charger kwenye simu.
Tafuta fundi akupimie hzo usb cable zako kama znatoa voltage output sahh. Unatumia usb pc power source au unatumia ya charger? Ikiwa unatumia ya pc basi tatizo litakuwa hzo cable zako ama betri imeishiwa kabisa nguvu na unahtaji kuiboost kwenye kobe. Chamsingi unapopata tatzo km hlo jaribu troubleshooting either kwa kutumia vifaa mbadala ambavyo una uhakika navyo kuwa vinafanya kazi au kuchukua betri pengine ndo ina tatzo mkuu.
Ingia DFU mode alafu try connecting to PC and open itunes alaf restore
yangu ilikuwa inazingua kuwaka bt nikaiacha kwa muda kidogo kwenye charge kwa kutumia pc then nilivyoiwasha ikawaka
tafuta fundi akupimie hzo usb cable zako kama znatoa voltage output sahh. Unatumia usb pc power source au unatumia ya charger? Ikiwa unatumia ya pc basi tatizo litakuwa hzo cable zako ama betri imeishiwa kabisa nguvu na unahtaji kuiboost kwenye kobe. Chamsingi unapopata tatzo km hlo jaribu troubleshooting either kwa kutumia vifaa mbadala ambavyo una uhakika navyo kuwa vinafanya kazi au kuchukua betri pengine ndo ina tatzo mkuu.
hao benson ndo wakina nani labda wanaweza kunisaidia kuinunua hata kama scraper
Jamani hii simu haiwaki kabisa yani ukiwasha inaonesha tu mwanga afu inazima ukiweka charger haisomi kabisa, Naombeni msaada wenu ila msije na msaada kama nliopata kwenye hii video kwenye pitapita za kutafuta solution
If symptoms persist find a jar of water and bury it in. It will find its way to Steve Job and will be resolved
Nlikuwa na tatizo na nokia n8 na baada ya kuzaunguka kwa mafundi nikata tamaa maana kila fundi niliona anataka kuharibu badala ya kutengeneza. Nili google tatizao langu. Nikabahatika kumpata mshauri mmoja na solution ilikuwa simple. Nilitakiwa kuondoa betri kisha kuconnect simu kwenye laptop kwa kutumia USB cable (kucharge) na kuiacha dakika moja. Nilipo iwasha ikawaka( bila cudisconnect). Nilirudisha betri bila kuiondoa kwenye USB connection na kuendelea kucharge kama kawaida. Nilichokiona ni kuwa data nilizo kuwe nimeweka siku kama mbili za nyuma yake zilipotea ila simu ilipona. Sijui kama the same trick itafanya kazi kwa i phone. Jaribu ukifanikiwa wajulishe na wengine.