iPhone 3G Haiwaki wala Kucharge

iPhone 3G Haiwaki wala Kucharge

Nyasiro

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,201
Reaction score
551
Jamani hii simu haiwaki kabisa yani ukiwasha inaonesha tu mwanga afu inazima ukiweka charger haisomi kabisa, Naombeni msaada wenu ila msije na msaada kama nliopata kwenye hii video kwenye pitapita za kutafuta solution

Last edited by a moderator:
Hio charger umejaribu kwenye simu nyingine na ikafanya kazi?

Kama inafanya tatizo linaweza likawa kwenye betri au sehemu ya kuchomeka charger kwenye simu.
 
nna usb kebo mbili zote zimegoma.
Taztizo lilianza hivi, nikiconnect kwenye PC au kwenye socket inakua inadect halafu tena inakata yan kama inabeep beep hivi mi nkajua ni tatizo dogo tu sasa imeshakua seriaz manake sime umeishiwa kabisa charge.
 
Tafuta fundi akupimie hzo usb cable zako kama znatoa voltage output sahh. Unatumia usb pc power source au unatumia ya charger? Ikiwa unatumia ya pc basi tatizo litakuwa hzo cable zako ama betri imeishiwa kabisa nguvu na unahtaji kuiboost kwenye kobe. Chamsingi unapopata tatzo km hlo jaribu troubleshooting either kwa kutumia vifaa mbadala ambavyo una uhakika navyo kuwa vinafanya kazi au kuchukua betri pengine ndo ina tatzo mkuu.
 
nmejaribu kupitia pc na hata kupitia charger lakini haimna kitu. basi nnahisi tatizo ni betri, nnaweza kupata wapi iPhone 3G compatible battery
 
yangu ilikuwa inazingua kuwaka bt nikaiacha kwa muda kidogo kwenye charge kwa kutumia pc then nilivyoiwasha ikawaka
 
yaani mimi nimejaribu kuicha kwenye charge the whole night bila mafanikio yoyote
 
tafuta fundi akupimie hzo usb cable zako kama znatoa voltage output sahh. Unatumia usb pc power source au unatumia ya charger? Ikiwa unatumia ya pc basi tatizo litakuwa hzo cable zako ama betri imeishiwa kabisa nguvu na unahtaji kuiboost kwenye kobe. Chamsingi unapopata tatzo km hlo jaribu troubleshooting either kwa kutumia vifaa mbadala ambavyo una uhakika navyo kuwa vinafanya kazi au kuchukua betri pengine ndo ina tatzo mkuu.

imekufa kabisa sasa. Nimevunga mimi ni mtata nimeifungua kuifunga imeshindikana
 
Pole nyasiro, i face exactly problem the same with my ipod touch 2G. Nikataka nikafungue hapa kadude, nikaona kama natak kuvunja, sasa nimeacha nataka nipeleke Benson waicheki.
 
Last edited by a moderator:
Pole nyasiro, i face exactly problem the same with my ipod touch 2G. Nikataka nikafungue hapa kadude, nikaona kama natak kuvunja, sasa nimeacha nataka nipeleke Benson waicheki.

hao benson ndo wakina nani labda wanaweza kunisaidia kuinunua hata kama scraper
 
ha ha ha, mi niko A-town, na kuna watu wanaitwa Benson and Co., wana gadgets kibao +vifaa vya umeme. Kuna technical center yao ndo nataka niwapelekee waicheki this friday, hoping mambo yatakuwa mazuri.
 
Yangu pia ina tatizo hilo, huwa na chofanya natumia computer nyingine au dvd player nyingine kucharge , huwa inakubali, na kwa sasa ili isirudie nahakikisha na icharge kabla haijajizima, Sijui kwanini hii I-phone zina tatizo hilo
 
Its a common problem especially when u a not using a reliable source of power. Iache kwa mda kama siku nzima hivi kisha iweke kwenye charge ya direct plug na sio USB-computer charge.
If symptoms persist find a jar of water and bury it in. It will find its way to Steve Job and will be resolved

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jamani hii simu haiwaki kabisa yani ukiwasha inaonesha tu mwanga afu inazima ukiweka charger haisomi kabisa, Naombeni msaada wenu ila msije na msaada kama nliopata kwenye hii video kwenye pitapita za kutafuta solution

apple is a criminal organization stop using its products,
 
Last edited by a moderator:
Nlikuwa na tatizo na nokia n8 na baada ya kuzaunguka kwa mafundi nikata tamaa maana kila fundi niliona anataka kuharibu badala ya kutengeneza. Nili google tatizao langu. Nikabahatika kumpata mshauri mmoja na solution ilikuwa simple. Nilitakiwa kuondoa betri kisha kuconnect simu kwenye laptop kwa kutumia USB cable (kucharge) na kuiacha dakika moja. Nilipo iwasha ikawaka( bila cudisconnect). Nilirudisha betri bila kuiondoa kwenye USB connection na kuendelea kucharge kama kawaida. Nilichokiona ni kuwa data nilizo kuwe nimeweka siku kama mbili za nyuma yake zilipotea ila simu ilipona. Sijui kama the same trick itafanya kazi kwa i phone. Jaribu ukifanikiwa wajulishe na wengine.
 
mi nshakata tamaa kabisa hata nikiiona napata hasira, ila ntajiru kama ikikubali ntaleta majibu hapa.
 
Back
Top Bottom