Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,906
- 7,127
- Thread starter
- #21
Ukiambiwa uanze na moja. Ipi utaenda nayo.Ningekuwa Mimi ningechukua zote
Ukiambiwa uanze na moja. Ipi utaenda nayo.Ningekuwa Mimi ningechukua zote
2Ukiambiwa uanze na moja. Ipi utaenda nayo.
Huwa najiulizaga hivi mwanaume unaanzaje kutumia iphone macho 3? Ifike wakati wanaume tukubali tu kwamba macho 3 hasa kwa hapa Tz ni kuachia wadada.Chukua Samsung, maana I4n ina limitations za kiwaki mnoo.
Nakerekwa mie, aaaah
Mwanaume anayejitambua hawezi miliki iphone macho matatu.Kuna chuma apo kimekaa kiume sana(samsung)
Point ya maana hii , kwa Bei hiyo anapata heka moja WILAYA moja hapo dodomaKati ya hizo mbili bora ununue Kiwanja Vikindu,utanishukuru baadye