Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,192
Chukua Samsung mkuuMaoni yenu wakuu.
Zote ziwe 512GB.
ipi nichukue, ni mtumiaji wa ios na android pia.
Nilitaka nibebe zote pamoja, lakin nataka nianze na moja.
Kama kuna tofauti na hizo ambazo bora zaidi nakaribisha pia.
Asanteni.
Limitations zipi?Chukua Samsung, maana I4n ina limitations za kiwaki mnoo.
Nakerekwa mie, aaaah
Chukua iPhone 17 Pro Max hutajuta kwanza inakaa sana na charge ni simu nzuri mno binafsi taangu nianze kununua simu zangu sijawahi kutumia SamsungMaoni yenu wakuu.
Zote ziwe 512GB.
ipi nichukue, ni mtumiaji wa ios na android pia.
Nilitaka nibebe zote pamoja, lakin nataka nianze na moja.
Kama kuna tofauti na hizo ambazo bora zaidi nakaribisha pia.
Asanteni.
Wengine siyo shida zao wameshapita hizo level za kushauriwa kiwanjaKati ya hizo mbili bora ununue Kiwanja Vikindu,utanishukuru baadye
Wasichojua mtu anayenunua simu za bei hiyo wala hawazi viwanja vya milion 2, alafu vikindu 😀Wengine siyo shida zao wameshapita hizo level za kushauriwa kiwanja
Limitations zipi hizo?Chukua Samsung, maana I4n ina limitations za kiwaki mnoo.
Nakerekwa mie, aaaah
Data on na other apps like VPNS na kuingia mitandao ifuatayoChukua iPhone 17 Pro Max hutajuta kwanza inakaa sana na charge ni simu nzuri mno binafsi taangu nianze kununua simu zangu sijawahi kutumia Samsung
Sasa kama haujawahi kununua Samsung umejuaje kuwa zina changamoto mazee hizo simu zote hazina tofauti saana ya kusema hii ni bora zaidi ya nyingine zote sawa tu ni uamuzi wa mtu atumie ipi..Chukua iPhone 17 Pro Max hutajuta kwanza inakaa sana na charge ni simu nzuri mno binafsi taangu nianze kununua simu zangu sijawahi kutumia Samsung
Ndo nashangaa mtu kama huyu anasaka nyumba ya Kuvunja Ilala huko Magomeni na Kinondoni unamshauri akanunue kiwanja cha 1m Vikindu???? Halafu Vikindu siyo Dar es Salaam sasaWasichojua mtu anayenunua simu za bei hiyo wala hawazi viwanja vya milion 2, alafu vikindu 😀
Kama mimi nikitoka nayo asubuhi jioni narudi nayo ikiwa around 60% na mimi ni heavy User VPN zipo kama jamii Forums hata Operamin Ina Built in VPN unatumia vizuri tuuData on na other apps like VPNS na kuingia mitandao ifuatayo
Jamiiforums
Telegrams
X.com
YouTube sana
TikTok sana
Inakaa na charge kwa muda Gani endapo ukitoka nyumbani saa 1 ipo full charge
Kaburu nae nimeona kwenye maduka yake anaisifia sana hiyo mashine sema huku una upgrade tu unachukua hiyo ya mbele unawaachia ya zamani na hela kidogo..S26 Ultra inatoka February 25, subiri uchukue hiko chuma kipya, ni cha moto sana
Hela kidogo kama sh ngapiKaburu nae nimeona kwenye maduka yake anaisifia sana hiyo mashine sema huku una upgrade tu unachukua hiyo ya mbele unawaachia ya zamani na hela kidogo..
Inategemeana na agent ulieenda na wakiikagua simu uliyopeleka kama ipo kwenye hali nzuri au laa..Hela kidogo kama sh ngapi
Ningekuwa Mimi ningechukua zoteMaoni yenu wakuu.
Zote ziwe 512GB.
ipi nichukue, ni mtumiaji wa ios na android pia.
Nilitaka nibebe zote pamoja, lakin nataka nianze na moja.
Kama kuna tofauti na hizo ambazo bora zaidi nakaribisha pia.
Asanteni.