[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa kwa sautii hapaa. LolIle 12 mpaka 14 majicho ya watu ndo yalipata tabu, miaka hii 2 i4n imeshuka umaarufu
Wapo wengi sanaIphone zimekuwa kibwagizo(meme) tu, siamini kama watu wanaotoa nyeti zao kisa hizo simu ni wengi.