IPhone 13 camera hamna kitu

Niliivua cava ni IPhone 13

Wee jamaa kumbe mshamba sana...Iphone haikaguliwi kwa kuvua cava wewe!
Baada ya kuvua cava uliona inachapa kwamba ni iphone 13?
Halafu kutumia kigezo kwamba huyo yuko vizuri kiuchumi hakuwezi kuprove kwamba atanunua kitu genuine, ishu ana ujuzi wa kutambua kwamba kitu flani ni Og ama la!
Yupo dada mmoja alikuw anahitaji kununua sumsung S9 wakati zinatoka, so kwa sababu hakuwa anazijua kiundani akaingia dukani wakamshikisha famba bila kujua kwa kulipia bei sawa na Og, tukafuatilia aliyemshikisha akarudisha mpunga!
Sasa kwa hizo Iphone 13 wapo wadada humu mtaani wanazo na wanajiweza kiuchumi ila walishikishwa mafamba na wajanja kwa kuwa wengi hawajui kukakugua specifications kama ulivyo wewe ambaye unatoa cava.
 

Hajui kitu huyo unaweza jua ni iPhone ipi pia kwa kuangalia Notch size halafu unaingia settings Ku confirm
 

Uzuri hiyo note 8 nimetumia na android nyingi nyingi zikiwemo hizo Samsungu Note series

Sijatumia Google pixel ndo naskia stori ina Camera kali

Turudi kwa Iphone hii ni habari nyingine pamoja na kuwa na upekee unafanya watu waone kama gereza ila huwez kulinganisha note 8 na Iphone 13 hata kwa iphone Xr tu hiyo note 8 haifui dafu
 
Weka picha acha maneno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…