Hata note 9 yenyewe basi tu.Yaani kwa hizi samsung yenye note na S series, kama uchumi upo chini labda ununue S10+ au laa note 9, chini ya hapo camera ukungu
Nina picha za iPhone 13
Weee ile ni simu afu simu tena, mchawi setting nakwambia.
Sisi wa Itel tunaendelea kufuatilia Kwa karibu hii battle..... Hatuna maneno hata,Kwanza tunapata wapi nguvu ya kuongea.
Mpaka leo tarehe 15.02.2022 hakuna aliejitokeza kuleta picha ya iphone 13 basi humu JF hakuna mwenye hio simu...
Kwa .m yangu niliyochukua, ni nzuri balaa kwenye chaji haina shida kabisa, ila uwe vizur tu kwenye kuchagua ni bora ugande dukan lisaa 1 au zaid ili ukiondoka umeondokaNaona wanatoa na warranty ya miezi 6 mpaka mwaka kwa bei za laki 6 sijui 7 vileeee, zinakuwa ni nzuri kweli?
Note 10 ni bonge la simu mkuu, hata s10 imenyooka balaa. Utunzaji wao wa chaji sijajua, vipi unaufahamu?Hata note 9 yenyewe basi tu.
Kama ni mimi, I would recommend s10 series au Note 10 series.
Ulichukua ipi wewe?Kwa .m yangu niliyochukua, ni nzuri balaa kwenye chaji haina shida kabisa, ila uwe vizur tu kwenye kuchagua ni bora ugande dukan lisaa 1 au zaid ili ukiondoka umeondoka
Mimi nilichukua Gpixel hapo hapo wanakouza samsung pia, toka nilipoondoka sijawasiliana nao kulalamikia simu zaidi niliwacheki kwa ajili ya ku upgrade nipande toleo la juu. Kwa samsung sijajuaUlichukua ipi wewe?
Sawa kaka, ni kkoo sehemu gan?Mimi nilichukua Gpixel hapo hapo wanakouza samsung pia, toka nilipoondoka sijawasiliana nao kulalamikia simu zaidi niliwacheki kwa ajili ya ku upgrade nipande toleo la juu. Kwa samsung sijajua
Kama unataka samsung, kawacheki China plaza ndani
Nawaza sana kuhusu bidhaa itakuwa original kweli? Wasiwasi wangu upo hapo, bei zao zinavutia sana.Kama unataka samsung, kawacheki China plaza ndani
Kwa kuwa wanakupa warranty, Nadhani ikiwa famba watakubadilishia tu, Pia samsung copy unaweza kuifaham kwa kuiangalia kwa dakka chache na kuipekua unajua tu hi OV au laa, Hasa ukifungua camera, ukaipiga picha ila saut inayotoka, kwa kubonyeza code na mambo mengineyoNawaza sana kuhusu bidhaa itakuwa original kweli? Wasiwasi wangu upo hapo, bei zao zinavutia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule bwana aliiunderrate sana iphone, ila kaja kusema hakuwa seriousView attachment 2121066
View attachment 2121067
Nimepiga kwa kutumia iPhone 11. Hapo ni Pangani - Tanga
Yule bwana aliiunderrate sana iphone, ila kaja kusema hakuwa serious
Yule bwana aliiunderrate sana iphone, ila kaja kusema hakuwa serious
Ana masihara sana jamaa, Yaan iphone 13 kwa note 8Watakua walimpa famba au iphone walichange camera
Hiyo ilikuwa copy mkuuNawasubiri hapa